THINKINGBEING
JF-Expert Member
- Aug 9, 2010
- 2,779
- 1,304
'Madereva' wengi wanapoona mambo yanakwenda mrama hu'6' kuendelea na safari na kuamua kutumia 'MAKONDA' kwa sababu 'MAKONDA' wanajuana na wapiga debe(wahuni)wengi wakidhani kuwa matusi na vurugu za MAKONDA na wapiga debe wao huenda yakawashawishi abiria kuingia katika gari ambalo limeshapoteza muelekeo..Matokeo yake ni kwamba vurugu za 'MAKONDA' na wapiga debe licha ya kutokuwashawishi abiria kupanda basi, vilevile huwafukuza abiria wachache waliokuwa ndani ya basi wakidhani ku'6' '6' kwa 'dereva' kulikuwa na maana fulani na kuamua kupanda basi jingine
Copy and Paste from
Isaya Ngwijoh(Facebook)
Haswa.Kwa hiyo jina lake lina akisi matendo yake?
Haswa.
Very creative. MAKONDA pia ni wachafuwachafu. MAKONDA huamini kuwa wao ndio wenye gari. MAKONDA hujaza machenji mfukoni hadi hushindwa kutembea vyema. MAKONDA wamezoea kuzuia wanafunzi wasiingie garini. Wamezoea mikikimikiki
Makonda wa namna hii dawa yao na abiria jeuri tu.Mh!Inabidi kumsubiria viwanja vya Star TV kumpakipondo kidogo ili kesho awe na heshima
Makonda wa namna hii dawa yao na abiria jeuri tu.
Vijana waliokuwepo ndio wakulaumiwa.Nimemuona Makonda akiwa buheri wa afya nikasikitika sana.Vijana wa Dar es salaam sio mfano wa kuigwa kwa jinsi walivyoshindwa kumshughulikia Makonda mpaka sasa anaonekana shujaa.Vijana waliokuwa pale kwenye huo mkutano ni wapuuzi sana. Ilitakiwa wampige kipigo cha mwizi huyo Makonda. Sasa wanatuletea hadithi ya yaliyotokea ili tufanyeje? A tresspasser has no right. Walitakiwa wamtandike lakini wao wamepoteza hiyo nafasi.