Makonda na Makamba nini kinaendelea?

Mkuu, January kampa za uso eehh..safi sana.Januaru Amemmaliza kwa kusemaje Mkuu?
 
Kasemaje makamba
 
Nauliza tu wadau maana naona hata wakikutana hawasalimiani? Kila mmoja anajifanya busy na yake kun nini?
Ngoja team kidoni tupe nyeti. J anamuona kijana kuwa mtu hatari kuwahi tokea kisa nikwamba wale wapo karibu na J wanachapwa viboko na asie julikna na yule muhaya kafariki alikuwa mwandan wake jambo lina zid mshituwa pia yule tajiri alie tekwa ni moja ya mwa ndani wake hence J anaona M kama mtu hatari hata kusalimiana naye. Mengine sisemi maana sina proof nayo ila wakati utatujuza.
 
Mmoja wao hapo kasema kabisa alikua msiri wa marehemu, hivyo pengine aliachiwa husia kuendeleza bifu kimya kimya kwa akili.
Ha ha ha
 
Hebu bubujika dogo! Nakuaminia kwenye mambo yaliyojificha kwani una vijiushahidi ambavyo wasomaji wengi hapa huvipuuza lakini matokeo yake hushtua sana! Ref. issue ya 8hrs kuwa jinsi ulivyohitimisha na matokeo hayajabadilika hadi sasa! Tupe yaliyifichama na yatakavyotokea kati ya wawili hawa.
 
Tofauti ni uzuzu na ugenious! Zuzu anajifanya anajua kuliko anayejua

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona sijamuona mwenye sifa za u genious hapo? Tuache kuwapa watu mataji wasiostahili. Being genious isn’t a joke at all and I don’t see any between the two with those virtues of a genious
 
Na huenda anayajua mengi zaidi ya huyo jamaa.
Mmoja wao hapo kasema kabisa alikua msiri wa marehemu, hivyo pengine aliachiwa husia kuendeleza bifu kimya kimya kwa akili.
 
Jamaa yupo ktk hali mbaya sana baada ya kusikia kama j alikuwa msiri wa marehem,ila j inatakiwa ajipange maana kasema hadharani km msiri wa marehem lolote linaweza tokea kwake maana sio mtu mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
makonda/bashite ni kijana mdogo na mgeni sana hapa mjini . kwa upumbavu wake alijikuta jana anaongoza magari bila kujua kuwa ile haikuwa kazi yake! kwa vyovyote hakuwa na lakusema pale diamond! aseme nini nae ndiyo aliyemua ruge? tangu wapeane mikono kule Tanga ruge hajaonekana.
KUONGOZA MAGARI HAKUFUTI UKWELI WOWOTE KWAMBA YYE NDO KAMUA RUGE
 
labda alichangia pakubwa matibabu yake
 
Nauliza tu wadau maana naona hata wakikutana hawasalimiani? Kila mmoja anajifanya busy na yake kun nini?
Wachungaji wanataka waumini....wanasiasa sijui wanataka nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…