Makonda: Matusi ninayotukanwa yananipa raha

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
12806131_1050095221721602_521374195030453540_n.jpg


Makonda we piga kazi, watasema mchana usiku watalala "HAPA KAZI TU"
 
Umesikia Taarifa ya chama cha walimu mkoa wa dsm Leo?, wamenukuliwa na ITV habari za saa
 
Do kua ujionee.... kwa umri wangu huu mkubwa sijawahi sikia mtu yeyote anafurahia matusi ndo mara yangu ya kwanza.... labda kizazi cha dot com mnisaidie kumuelewa huyu Makonda...
 
12806131_1050095221721602_521374195030453540_n.jpg


Makonda we piga kazi, watasema mchana usiku watalala "HAPA KAZI TU"
Usiwe kama mwanamke . Wanawake ndio akipenda huwa hawezi kufikiri ya kesho kuwa wanaume hawaaminiki. People have to think twice for every move one does. You should not be moved by mass psychology.
Unaona Makonda anapitia kwenye mitandao kuona watu wanasemaje kuhusu move zake. This is good! He can learn from them
 
Bashite taratibu bhana,watoto wa Magu hawahitaji mtu wa kuwabeba
 
Hivi kweli mh anafurah matusi duuu
Sema mkuu kwa hili la walim ulikuwa unatafuta kuzungumziwa tuu
Hivi hata kama ulikaa ukawazaa Daa yaani utengeneze vitambulisho special kwaajili ya Mwalim na wapande gari bure duu
Kumbe ukuu wa wilaya ni mwepesi hivii
 
Haaahaaaa only chizi ndie anafurahia matusi, hajitambui hataki kuheshimiwa akafikiri kila mtu hapendi heshima, ndio maana alimpiga mzee wa watu, mbele ya umati wa watu kwa kuwa halipendi kuheshimiwa! Makonda ameaibika anajaribu kuficha uso kwa vidole vyake.
 
Makonda kinachomkondesha ni ahadi ya magufuli anataka magu aharakishe kumpandisha cheo.
 
Back
Top Bottom