Makonda leo clouds habari

Vyeti vyake vimepatikana anataka kuitisha news conference ili kuwathibitishia Watanzania kwamba yeye si Bashite wa Kolomije na hajawahi kufoji vyeti.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimejikuta nacheka kwa nguvu
 
Ndiyo nchi yetu ambayo maajabu hayaishi wengine wanapoteza kazi zao kwa kufoji vyeti na wengine wanaambiwa chapa kazi tu kisa kwao ni Kolomije!

Asante..bongo,Kazi kweli kweli
 
Vyeti vyake vimepatikana anataka kuitisha news conference ili kuwathibitishia Watanzania kwamba yeye si Bashite wa Kolomije na hajawahi kufoji vyeti.

mmmnh utadhania vyeti vyako kuna mtu anafaidika navyo.
 
Reactions: BAK
Chuki haina nafasi katika Maisha ya Mwanadamu mwenye moyo wa nyama!
 

Attachments

  • chuki.PNG
    4.9 KB · Views: 26
habari wakuu

Nimemtizama RC DSM katika habari clouds muda huu nimefurahi sana

Vijana oyeeeeeee
hivi ile slogun ya mwaka huu ya fiesta 2017 " tumekusoma" ina maana gani? Nani wamemsoma?.Na wamemsoma kwa kitu gani?
 
Hive kwa nini asiende Radio Tanzania au TBC ambayo ni ya Umma? Badala ya kuinufaisha radio yetu ya wanyonge, mnakwenda kuifaidisha redio za watu binafsi
mi toka mwanzo nilihisi harufu ya bahasha a. k . a tenipasentii a. k . a mulungula a. k . mulungula. sababu haiingii akilini kwa kiongozi mwandamizi wa serikali kuacha kutumia chombo cha umma kwa kazi za umma, hiki ni kielelezo cha kuwepo sababu binafsi
 

Sasa ngoma ipo kwa itv.Walidandia treni bila kujua linaelekea wapi.
 
Reactions: 7ve
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…