Makonda leo clouds habari

Mkataba wa Berlin

Nirushe Hewani niruhusu Fiesta yako

Kataa nipige Marufuku Matamasha ya Usiku kwenye Mkoa wangu!

Mboga ya Moto, bakuli la Moto, kijiko cha Moto na Lips zimepakwa Pilipili kichaa Halafu unalazimishwa kunywa Mchuzi wa Moto

I'm proud to be Tanzanian
 
tunataka maendeleo vijana wetu Ruge na Makonda wachape kazi...... ila some times kuna watu huko waliko lazima liwashuke,,,,, na wajifunze kudandia bifu za watu.... kama una bifu na mtu jitoe hadharani usitumie mgongo wa watu wengine..... watu wamepatana .... wewe umetumbuliwa hadi aibu.... tuache ushabiki
 
clouds ndio moja ya stesheni kubwa zinazoongoza Tanzania,

Makonda you need clouds kwa campaign/awareness ya kazi zako,

tegemea support kubwa,wananchi wakiamka,

msitibuane tena,

nyie vijana msigombane tena,

Tanzania inawahitaji nyie BOTH.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…