Makonda kuisimamisha Arusha akichukua fomu ya ubunge

Twin Tower

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2023
Posts
4,907
Reaction score
7,123
Baada kuvuka vizingiti na hatimae chama cha CCM kuamua kumpitisha kama mgombea ubunge jimbo la Arusha mjini.

Sasa ndugu Makonda anaenda kuchukua fomu katika ofisi za wilaya za CCM.
Barabada zinatarajiwa kufungwa kwa masaa kadhaa kutokana wingi wa watu watakaomsindikiza.

Tayari maandalizi yamekamilika. Biliboards katika mitaa kadhaa zikiwekwa.

Moja ya maswali wanayojiuliza baadhi ya watu, huu ukwasi ameupatia wapi? Anafanya biashara gani? Gambo amelishwa ngapi na wale wengine je?

Yote kwa yote, Arusha ni ya kijani ikichagizwa na mtoto maskini kutokea usukumani akiungwa mkono na wadudu wa chuga.

IMG-20250825-WA0084.jpg
 
Bado kuna watu na akili zao wanamshabikia huyu mseeengeee!!! Huyu hata akigombea na mafi, anashindwa. Atashinda kwa wivi tu.
 
Back
Top Bottom