GE2025 Makonda: Kila dereva Boda boda ukibeba abiria mwambie naomba Kura kwa ajili ya Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Mgombea ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia CCM, Paul Makonda, akihutubia mkutano wa kampeni leo, Oktoba 12, 2025, katika Wilaya ya Bukombe, Mkoa wa Geita, amewaomba maafisa usafirishaji kumwombea kura Samia kwa kila abiria watakayembeba.

"Boda boda wote ambao mmeshuhudia mapenzi ya Dkt. Samia yakuwatambua kama 'Maafisa Usafirishaji' na kuwapunguzia adhabu (faini) kutoka Elfu 30 mpaka Elfu 10 mnapombeba abiria yoyote mwambie namwombea Kura Dkt. Samia"

Ndugu Paul vipi na ikawa kinyume chake,umesha tafakari hilo,kwani inaweza kuwa badala ya wazo lako ikawa ni kutoka!
 
Mgombea ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia CCM, Paul Makonda, akihutubia mkutano wa kampeni leo, Oktoba 12, 2025, katika Wilaya ya Bukombe, Mkoa wa Geita, amewaomba maafisa usafirishaji kumwombea kura Samia kwa kila abiria watakayembeba.

"Boda boda wote ambao mmeshuhudia mapenzi ya Dkt. Samia yakuwatambua kama 'Maafisa Usafirishaji' na kuwapunguzia adhabu (faini) kutoka Elfu 30 mpaka Elfu 10 mnapombeba abiria yoyote mwambie namwombea Kura Dkt. Samia"

Screenshot_20250916-172047.jpg
 
Huyo boda asije akanambia mimi nimevurugwa ntamng’ata kisogo.
 
Back
Top Bottom