Makonda katika ubora wake!

Makonda katika ubora wake!

Huyu ni Next Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam!! Hutaki jamba!!
 
makonda usimchekee huyo kubenea, atakudhuru kama alivyomdhuru el. dunia inamfahamu unafiki wake. mwinde ka ndezi hadi ummalize.
 
Wilaya ya kinondoni ilivyo na kwa utovu wa maadiri wa wanaoishi humo wengi wakiwa wezi, matapeli na wauza unga inaitaji mtu kama makonda ili kupambana nao. Ukimleta mtu anayelala kinondoni itamshinda asubuhi, kuna watu wanatakiwa kucharazwa njiti, kuruka kichura na hata kubebeshwa zege

Inaihitaji mtuu mwenye uwezo pia wa kumvalisha viatu Mtoto wa mkuu au sioo
 
Ni kweli halifai kwani limechafuka kiwi makonda ameligusa kwa mikono yenye kiwi
 
Back
Top Bottom