Makonda katika ubora wake!

Makonda katika ubora wake!

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
38,534
Reaction score
31,198
Agundua upotevu wa bilioni 5 katika ujenzi wa barabara kinondoni.
 
Utamsifia sana lakini ukweli tumeuona kwenye gazeti la mawio leo

Wilaya ya kinondoni ilivyo na kwa utovu wa maadiri wa wanaoishi humo wengi wakiwa wezi, matapeli na wauza unga inaitaji mtu kama makonda ili kupambana nao. Ukimleta mtu anayelala kinondoni itamshinda asubuhi, kuna watu wanatakiwa kucharazwa njiti, kuruka kichura na hata kubebeshwa zege
 
Acheni watu wafanye kazi zao binafsi namshukuru sana mkuu huyu wa wilaya walau analeta heshima ya ukuu wa wilaya tofauti na zamani ambapo kilionekana kama cheo cha kisiasa tu lakini kumbe viongozi tunao na sasa wanaonesha njia kwamba inawezekana tukiamua
heko makonda
heko mkuu wa wilaya
hapa kazi tu
 
Mwacheni dogo apige kazi. Huwezi kuwa na project yenye budget ya billion 4 halafu itengewe 5b kama contingency. Yuko sahihi. Siasa pembeni.
 
Ina maana anamtumbua jipu mkulu wake aliyekuwa waziri idara hiyo? Kwanini hakuliona jipu hilllo kabla ya uchaguzi? Hizi nii fitna tu na huenda Ana MTU wake anampigia debe aletwe kwenye hiyo manispaa waje kupiga deal. Tangu aje hapo hakuna lolote alilofanikisha. Aende idara ya elimu akawadaie walimu pesa zao za likizo za tangu 2013.
 
Uliza kwanza usaidiwe kuelewa.

Kuna barabara zilizo chini ya Wizara ambazo zinasimamiwa na TANROADS ndizo zipo chini ya Waziri. Barabara hizi ni zile zinazounganisha makao makuu ya Wilaya na Mikoa

Kuna barabara zilizo chini ya Halmashauri; utaratibu wote wa tenda na usimamizi upo chini ya mamlaka za serikali za mitaa yaani Halmashauri. Barabara hizi ni zile zilizo ndani ya halmashauri husika.

Ubadhirifu huu ni unahusu barabara zinazosimamiwa na mamlaka ya Halmashauri. Bilashaka umeelewa
 
Ina maana anamtumbua jipu mkulu wake aliyekuwa waziri idara hiyo? Kwanini hakuliona jipu hilllo kabla ya uchaguzi? Hizi nii fitna tu na huenda Ana MTU wake anampigia debe aletwe kwenye hiyo manispaa waje kupiga deal. Tangu aje hapo hakuna lolote alilofanikisha. Aende idara ya elimu akawadaie walimu pesa zao za likizo za tangu 2013.

Barbara za manispaa na jiji hazipo chini ya wizara ya ujenzi, zipo chini ya tamisemi
 
Wilaya ya kinondoni ilivyo na kwa utovu wa maadiri wa wanaoishi humo wengi wakiwa wezi, matapeli na wauza unga inaitaji mtu kama makonda ili kupambana nao. Ukimleta mtu anayelala kinondoni itamshinda asubuhi, kuna watu wanatakiwa kucharazwa njiti, kuruka kichura na hata kubebeshwa zege
Makonda hawezi kuondoa hali hiyo mkuu
Sema lbda arudishe wilaya iwe ktk mpangilio unaoeleweka. ...kino kuna matapeli wengi tu na kuna wauza unga wengi tu
Kuhusu Barabara hiyo uzembe ktk usimamizi wa manispaa na yote hiyo ni 10%
 
Linasemajee?
Tupe headlines

ImageUploadedByJamiiForums1450372168.876389.jpg
Haya pata hilo! Wanasema kitu kizuri kula na ndugu yako!
 
Acheni watu wafanye kazi zao binafsi namshukuru sana mkuu huyu wa wilaya walau analeta heshima ya ukuu wa wilaya tofauti na zamani ambapo kilionekana kama cheo cha kisiasa tu lakini kumbe viongozi tunao na sasa wanaonesha njia kwamba inawezekana tukiamua
heko makonda
heko mkuu wa wilaya
hapa kazi tu

Kusema kweli huyu kijana kajitahidi kuonyesha njia kama kiongozi kinyume na umri wake ukilinganisha na wengi wa ma DC waliopo. Makonda, thumbs up
 
Mwacheni dogo apige kazi. Huwezi kuwa na project yenye budget ya billion 4 halafu itengewe 5b kama contingency. Yuko sahihi. Siasa pembeni.

Tapeli tuu na kibaka huyo! Hakuna zaidi ya kujipigia promo. Mbona wakati wa Mkwere alikuwa anakesha nae kwenye bongo flava na taarabu? Anachofanya ni hiki
ImageUploadedByJamiiForums1450372522.410021.jpg
 
Back
Top Bottom