Kwa hiyo kama sijawahi kumwona kiongozi live... Nawaoma tu kwenye TV, maana nisiwakubali kama ni viongozi ? Ila baadae nimeangalia muvi mpaka mwisho nimemwelewa Makonda, tofauti na kichwa cha habari.
Simpendi huyu jamaa ila hakuna baya aliloongea, ila ukimsikiliza huku unatafuta cha kukimbilia ku post utaandika lolote. Kichwa cha habari na video ni vitu tofauti.
Hata mimi nimesikiliza alicho kiongea makonda pamoja na kwamba huwa simkubali huyu bwana mdogo lakini kasema sahihi kabisa mtoa post ni waandishi wa vichochoroni