me naon a ukweli halisia wa huyu dogo utajulikana tu muda ukifika..Mkuu Mwala, asante kwa hii kitu.
Paskali
wee vp wivu wa nini Sasa? NyambafWivu tu unakusumbua, huna lolote
Wepesi sana.Makondakta ni wachafu sana
Mkuu ukiwa kwako unatakiwa utatue matatizo sio kusababisha matatizo.wee vp wivu wa nini Sasa? Nyambaf
Laana za kumpiga MZEE wa Ikizu zitamfuata popote na kumharibia tu, na avurugikiwe tu Hamna namna.
Laana mbaya sana..
Kwa picha hii hata wewe ni mnafiki na kutokuwa na adabu ndani ya ccm.