simba songea
JF-Expert Member
- Feb 8, 2016
- 1,496
- 1,219
Mlezi wako? Anakupa kula?Habari ndugu wapendwa was jf?!.
Nmesikitishwa sana na watu kuwabeza wanaume wa Dar au Kudaresalaam. Wengi wao wa mikoani ndo wameshikia bango LA kutubeza.
Sasa basi kutokana na hali hiyo nikiwa kama mtunza taarifa(data entrant) wa chama kitakachoanzishwa punde cha Wanaume Wa Dar es Salaam (WAWADAR) Natoa pongezi za dhati kwa mkuu wa mkoa wetu.
Mh Paul Makonda alishindwa kuvumilia na kupaza sauti nzito yenye mashiko akisema "Wanaume wa Dar tunajal mda, hatuwezi kupika wakati kuna take away chips, why tuangaike kufua wakati kuna dry cleaner? Muda ni Mali zaidi mfikiriavyo.
Pia akaenda mbali zaidi akisema " wanaume wa Dar tunaongoza kwa kutoa ajira. Kwa nn tulime mahindi wakati ya kuchoma yapo? Kwa nini tuangaike kukoleza moto kukaanga mihogo wakat ya kukaanga IPO? Kama tukfanya hayo yote je wa mikoani watamuuzia nani?
Mlezi wetu wa WAWADAR Mh Makonda naomba tusaidie kupata usajili haraka iwezavyo wa chama chetu WAWADAR ili tuwe na sauti moja ya kusemea
Nawasilisha kwako mlezi wetu wa WAWADAR Mh Paul Makonda.
Habari ndugu wapendwa was jf?!.

Hahahaha marupurupu yakitoka nkumbusheWanaume wa dar tunakula wali Nazi
Wa mkoani wanakula wali mavi.
Kweli?Bashite mtoto wa mama mchicha mwiba
Mods toeni huu uharo kwenye jukwaa letu tukufu la Siasa.Habari ndugu wapendwa was jf?!.
Nmesikitishwa sana na watu kuwabeza wanaume wa Dar au Kudaresalaam. Wengi wao wa mikoani ndo wameshikia bango LA kutubeza.
Sasa basi kutokana na hali hiyo nikiwa kama mtunza taarifa(data entrant) wa chama kitakachoanzishwa punde cha Wanaume Wa Dar es Salaam (WAWADAR) Natoa pongezi za dhati kwa mkuu wa mkoa wetu.
Mh Paul Makonda alishindwa kuvumilia na kupaza sauti nzito yenye mashiko akisema "Wanaume wa Dar tunajal mda, hatuwezi kupika wakati kuna take away chips, why tuangaike kufua wakati kuna dry cleaner? Muda ni Mali zaidi mfikiriavyo.
Pia akaenda mbali zaidi akisema " wanaume wa Dar tunaongoza kwa kutoa ajira. Kwa nn tulime mahindi wakati ya kuchoma yapo? Kwa nini tuangaike kukoleza moto kukaanga mihogo wakat ya kukaanga IPO? Kama tukfanya hayo yote je wa mikoani watamuuzia nani?
Mlezi wetu wa WAWADAR Mh Makonda naomba tusaidie kupata usajili haraka iwezavyo wa chama chetu WAWADAR ili tuwe na sauti moja ya kusemea
Nawasilisha kwako mlezi wetu wa WAWADAR Mh Paul Makonda.
Hee hee ee!HATIMAE UMEFUNGUKA HONGERANyie watu mnanikera kweli kweli. Mbona mnajikombakomba?
Sisi WANAUME WA DAR, tulizaliwa OCEAN ROAD na MUHIMBILI na sio Bugando na mapori mengine ya akiba au sijui Same au Mwanga huko Store Mombasa au Kiruru Ibweijeiwa kwa kina
Mshana Jr
Kama Dar ulikuja wewe ni WAKUJA. Na kwa taarifa yenu, tumezaliwa chips tukiziona na hatuna ajabu nazo, SISI NDIO TUMEZIUMBA.
Nyinyi WAKUJA, mkifurumuka kutoka kwenye mapori ya akiba huko mkafika Dar kuja kuosha macho, hamtaki kurudi kwenu. Mkifika hapa mnafakamia chips mayai kwa pupa na kujisahau. Mnavaa nguo spesho kama waimba kwaya na wengine mnachangammmmmka kuliko sisi wenyeji wenu. Saa zote mna earphones masikioni hata tukiwapigia honi mtupishe hamsikii. Kitu mnachosikia haraka ni kengele za baiskweli.
Mwanaume wa Dar ni yule mzaliwa waDar na sio nyinyi mnaotujazia jiji kwa kuwa tu mtandao wa barabara za lami umeimarika.
Huko mlikotoka saa zote mkiwa mashambani na kwenye mapori yenu ya akiba mnashinda mkitafuna mzizi huu mara huu. Lkn mkija hapa mnatusingizia eti hatuamshi dude hadi kwa mizizi...hebu acheni urongo, hii mizizi inayoletwa huku na wamasai ni kwa ajili yenu. Mlikuwa mkiila mkiwa huko na sasa mmehamia mjini wenzenu wanawaletea muendelee kupona, lkn kwa kuwa mkija huku mnajibrand eti na nyie ni Walume wa Dar, basi mnatuchafua.
Kwa iyo ndio nyie mkishashiba chips zege mnahadithiana Black panthers..Nyie watu mnanikera kweli kweli. Mbona mnajikombakomba?
Sisi WANAUME WA DAR, tulizaliwa OCEAN ROAD na MUHIMBILI na sio Bugando na mapori mengine ya akiba au sijui Same au Mwanga huko Store Mombasa au Kiruru Ibweijeiwa kwa kina
Mshana Jr
Kama Dar ulikuja wewe ni WAKUJA. Na kwa taarifa yenu, tumezaliwa chips tukiziona na hatuna ajabu nazo, SISI NDIO TUMEZIUMBA.
Nyinyi WAKUJA, mkifurumuka kutoka kwenye mapori ya akiba huko mkafika Dar kuja kuosha macho, hamtaki kurudi kwenu. Mkifika hapa mnafakamia chips mayai kwa pupa na kujisahau. Mnavaa nguo spesho kama waimba kwaya na wengine mnachangammmmmka kuliko sisi wenyeji wenu. Saa zote mna earphones masikioni hata tukiwapigia honi mtupishe hamsikii. Kitu mnachosikia haraka ni kengele za baiskweli.
Mwanaume wa Dar ni yule mzaliwa waDar na sio nyinyi mnaotujazia jiji kwa kuwa tu mtandao wa barabara za lami umeimarika.
Huko mlikotoka saa zote mkiwa mashambani na kwenye mapori yenu ya akiba mnashinda mkitafuna mzizi huu mara huu. Lkn mkija hapa mnatusingizia eti hatuamshi dude hadi kwa mizizi...hebu acheni urongo, hii mizizi inayoletwa huku na wamasai ni kwa ajili yenu. Mlikuwa mkiila mkiwa huko na sasa mmehamia mjini wenzenu wanawaletea muendelee kupona, lkn kwa kuwa mkija huku mnajibrand eti na nyie ni Walume wa Dar, basi mnatuchafua.
Hata avatar yako inasadifu wajihi wako. Umetoka pori la akiba la Mkoreha hukooo Tandahimba, umefika Dar unajiita Tupac...tunasingiziwa sisi.Kwa iyo ndio nyie mkishashiba chips zege mnahadithiana Black panthers..
[emoji2] [emoji1] [emoji1]Nyie watu mnanikera kweli kweli. Mbona mnajikombakomba?