Makonda awajibishwe kwa kumsingizia Askofu Gwajima mteule wa Mungu madawa

Mbunge Mlinga alieleza vizuri kwamba anajua hii vita haikuwa ya madawa ya kulevya.

Ni mtu kaugeuza ugomvi wake binafsi na kuufanya ni vita ya kitaifa ya madawa ya kulevya.

Akina Gwajima na wengineo wana haki ya kumfungulia kesi mahakamani Makonda.

Wangefungua kesi nyingi iwezekanavyo ili kumvuruga na aliyemteua.
 
Kama kweli hii ni serikali ya kweli Makonda na awajibishwe kwa kumdhalilisha mlezi Wa maelfu kwa maelfu ya vijana na familia.

Hatuwezi kuendelea kuvumilia majitu ambayo kazi ni kuchumia tumbo huku yakidhulumu na kudhalilisha wengine.

Makoonda hawezi kuwajibishwa kwa kuwa Gwijama ni mchungaji. Serikali haina dini. Kama kuna umuhimu wa kumwajibisha Makonda basi iwe ni kwa ajili ya mtu yeyote aliyesingiziwa kuhsika na madawa, sio Gwijama kwa kuwa ni askofu au padri sijui.
 
Kama kweli hii ni serikali ya kweli Makonda na awajibishwe kwa kumdhalilisha mlezi Wa maelfu kwa maelfu ya vijana na familia.

Hatuwezi kuendelea kuvumilia majitu ambayo kazi ni kuchumia tumbo huku yakidhulumu na kudhalilisha wengine.
Emmanuel mbasha :D :D :D :D :D
 
Kama kweli hii ni serikali ya kweli Makonda na awajibishwe kwa kumdhalilisha mlezi Wa maelfu kwa maelfu ya vijana na familia.

Hatuwezi kuendelea kuvumilia majitu ambayo kazi ni kuchumia tumbo huku yakidhulumu na kudhalilisha wengine.
Huyo
 
Wewe usiwe mjinga kihivyo.....Gwajima si askofu wala nini....yule ni tapeli na muuza madawa, sema tu dawa zake za misukule zimekuharibu fikra zako. Nishitaki basi na mimi.
 
hivi zile kauli ali
Kitendo cha kumchafua Baba Askofu Gwajima nakuhakikishia Mungu hawezi kuangalia hivihivi tu , kuna jambo baya sana litamkabili mtu muda si mrefu .
zokuwa anazitowa gwajima juu ya makonda kweli mnaunga mkono kuwa nimtumishi wa mungu?? mm nilifikiri ile samehe saba mara sabini iwe mfano .muombee adui yako pia kumbe ni maneno tuu yakupumbazana?.mchungaji gani anakuwa na chuki binafsi? kajaribiwa kidogo tuuy mapovu debe
 
Wewe usiwe mjinga kihivyo.....Gwajima si askofu wala nini....yule ni tapeli na muuza madawa, sema tu dawa zake za misukule zimekuharibu fikra zako. Nishitaki basi na mimi.
kuna watu wanashangaza sana aisee.unapo amua kumwamini na kukabidhi maisha yako kwa binadam mwenzio mwenye kila kitu kama ww
 
Back
Top Bottom