GE2025 Makonda: Wana Feri msikubali kuiondoa amani, tukapige Kura

GE2025 Makonda: Wana Feri msikubali kuiondoa amani, tukapige Kura

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
354
Reaction score
395
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia CCM, Paul Christian Makondaameendelea na kampeni zake za kumuombea kura Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia ambapo leo Oktoba 23, amefika katika Soko la Ferri lililopo Kigamboni, Dar es Salaam.

 
Back
Top Bottom