nyembeason
Member
- May 4, 2009
- 44
- 21
Makonda, mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, ameanzisha vita dhidi ya dawa za kulevya. Imeonekana vita hii imekuwa wimbo wa TAIFA kwa sasa. Polisi, mkuu wa kaya, na kila kiongozi akafuata, akaanza vita hii. Ikaundwa idara-Taasisi maalum chini ya Bwana Sianga KUPAMBANA NA MADAWA YA KULEVYA.
Tumekuwa na MAJINGILI kwa muda mrefu sana. Tembo wanaisha. Kwanini MAKONDA asipewe WIZARA hii ya Maliasili ili UJANGILI uwe wimbo wa TAIFA kila mmoja aimbe, apigane vita hii?.Mawaziri wameonekana mizigo sana kwenye eneo HILI-UJANGILI.