Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,786 Reaction score 1,251,505 Feb 8, 2024 #21 Inashangaza sana
mwanga mweusi JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 287 Reaction score 473 Feb 8, 2024 #22 Makonda simpendi ila namkubali sema tu hana cheo cha kutumbua mojakwa moja sasa hivi huduma za serkal ndi mbovu hasa upande wa ujenzi wizi na rushwa Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Makonda simpendi ila namkubali sema tu hana cheo cha kutumbua mojakwa moja sasa hivi huduma za serkal ndi mbovu hasa upande wa ujenzi wizi na rushwa Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
CHIEF PRIEST JF-Expert Member Joined Dec 13, 2021 Posts 21,099 Reaction score 41,381 Feb 8, 2024 #23 Lucas mwashambwa said: Hata mimi sijamuelewa analengo tuelewe nini juu ya andiko lake. Maana sijamuelewa vizuri. Click to expand... Kaguswa basha wako kigololi kimekushuka
Lucas mwashambwa said: Hata mimi sijamuelewa analengo tuelewe nini juu ya andiko lake. Maana sijamuelewa vizuri. Click to expand... Kaguswa basha wako kigololi kimekushuka
MamaSamia2025 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 20,698 Reaction score 42,767 Feb 8, 2024 #24 Poppy Hatonn said: Sass nimsifie mtu amejenga barabara,kwani mimi ninayo gari mpaka nimsifie mtu aliyejenga barabara? Click to expand... Nilipoanza kusoma nilidhani ninasoma uzi wa mtu mwenye akili timamu kumbe ushuzi mtupu..... barabara ikiwa mbovu wagonjwa wanaweza kuwahishwa hospitalini?
Poppy Hatonn said: Sass nimsifie mtu amejenga barabara,kwani mimi ninayo gari mpaka nimsifie mtu aliyejenga barabara? Click to expand... Nilipoanza kusoma nilidhani ninasoma uzi wa mtu mwenye akili timamu kumbe ushuzi mtupu..... barabara ikiwa mbovu wagonjwa wanaweza kuwahishwa hospitalini?
Meneja Wa Makampuni JF-Expert Member Joined Jul 7, 2020 Posts 9,263 Reaction score 12,197 Feb 8, 2024 #25 Sasa kwanini unalia boss, nyamaza futa machozi endelea na mapigano. Makonda amekuja kusafisha kabisa masalia yote
Sasa kwanini unalia boss, nyamaza futa machozi endelea na mapigano. Makonda amekuja kusafisha kabisa masalia yote
K Kb Ulayaulaya JF-Expert Member Joined Jan 5, 2023 Posts 802 Reaction score 1,156 Feb 8, 2024 #26 Mimi Bado nasoma hii thread labda ntaielewa baadae yamkini