Makonda anafaa kuwa Waziri gani? Fedha au Nishati na Madini au Ujenzi?

Waziri wa mambo ya ndani akamilishe vizuri kazi yake ya madawa ya kulevya na ujangili mapungufu yake mengine tumuachie yeye ni binadamu pia tuangalia uzuri wake
 
Unamzumgumzia makonda yupi au Daud Albert Bashite? Kama huyo IPO wizara mpya kabisa imeundwa inaitwa Wizara ya Kiki na misifa utekaji na wasiojulikana hiyo apewe tu anaimudu kwelikweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaaa linaakilii kinomaa ya utendaji. Wewe mwana JF unadhani jamaaa anaweza kuwa Waziri wa sector ipi!???! Kati hizi, Fedha, Nishati na Madini au Ujenzi!!!
NA ULIVYO KILAZA SASA......
HAKUNA "WIZARA NA NISHATI NA MADINI" HUKO LUMUMBA UNAFANYAGA NINI:mad::mad::mad::mad::mad::mad:
 
Back
Top Bottom