KAKADO
JF-Expert Member
- Nov 8, 2012
- 230
- 336
Kwa takribani majumaa kadhaa hoja ya vyeti vya makonda ilichukua nafasi kubwa sana katika mitandao yakijamii, binafsi naona ilikuwa hoja nzito sana kwa makonda kupambana nayo inawezekana labda ilikuwa hoja nzito iliyotishia ugali wake hali iliyomfanya akatulize akili kule kwa madiba,siku chache baada ya kurudi nchini tumeshuhudia jambo lisilo la kawaida kwa kiongozi kuvamia kituo cha habari akiwa na silaa nzito nzito.
Makonda ni mwenyeji clouds tumeambiwa mara nyingi amekuwa akienda pale,na kushinda kutwa wakati mwingine,hii inamaana mazingira ya clouds anayajua vema,hivyo ni wazi alikuwa anajua cctv Kamera zilipo hivyo alikuwa anafanya jambo analolijua,cctv hazikumchukua kwa bahati mbaya huenda ndio ilikuwa target yake akijua wazi cctv ikisambaa itakuwa sintofahamu bhasi atafanikiwa kuhamisha mjadala hatari wa vyeti vyake unaomkabili (katika hili amefanikiwa) ni kweli watanzania wanapenda matukio na tukio hili nimefanikiwa 100%kumuacha makonda salama na hoja ya vyeti vyako
Makonda anaakili nyingi wachache tunaweza kukuelewa ila wale wakusubiri umbea wa kila jumapili hakika watasuburi sana.