GE2025 Makonda aingia mtaa kwa mtaa Shinyanga kusaka kura za Samia

GE2025 Makonda aingia mtaa kwa mtaa Shinyanga kusaka kura za Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Mgombea ubunge jimbo la Arusha mjini Paul Makonda yupo mkoani Shinyanga kusaka kura za mgombea mgombea urais kupitia CCM Samia Suluhu Hassan je, unadhani jimbo la Arusha Mjini halina kero?

Mdau ameandika....

"Arusha kero zenu tumeni kwenye mitandao mgombea ubunge akizipata ata like huko huko"
 
Dharau hizi inamaana huko Arusha kashamaliza?
 
Makonda kama ni ndagu basi alipata fundi kweli kweli. Unamtukana mtandaoni lakini ukikutana nae barabarani unaomba kupiga nae picha.
 
Hapo makonda hasaki kura za samia mtaani, ni anasaka teuzi ya ama unaibu waziri au uwaziri kamili!.
Kibarua kinapaliliwa kinafki na ndio njia wahuni wanayoitumia kumu win samia na kuifisadi nchi!.
 
Najiuliza CHADEMA ndio wangepiga chapa gari zao hivyo leo hii wangepewa kesi ya uanzishaji MILITIA na yule msajili kada wa CCM angepewa amri ya kukifutia usajili.

Halafu kwa mtindo huo ndio mnasema Tes ni kanjanja.??
 
Back
Top Bottom