Makonda acha siasa kwenye barabara za Dar!!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
17,589
Reaction score
28,570
Kuna clip inatembea mitandaoni kuhusiana na mkutano wa RC Makonda jijini pamoja na wadau wa barabara za Dar es salaam.
Makonda anaonekana kuwakemea Makandarasi wawili, Dek Monte na Skol kwa kusababisha barabara kujengwa chini ya viwango Jijini.
Anaonekana Makongda akiwaambia kwa ukali" KAA CHINI", hao makandarasi wakijaribu kujieleza.
Mbaya Zaidi anwaambia kuwa katika mkoa wake wasipewe kandarasi aina yoyote ile na kuwaagiza Wakurugenzi aione kuwapa hao kazi Jinjini Dar.

Mi nafikiri maoni ya Makonda hayana kina cha kitaalam na hayana msingi wa uchunguzi wa utendaji kitaalam na kimikataba.

Jijini Dar es salaam na Halmashauri ningi kuna matatizo mukbwa yafuatayo
  1. Rushwa-si uongo kuwa kazi za ujenzi za Halmashauri zote nchini zinaongoza kwa kuwa na rushwa kubwa. Wafaidika wakiwa watendaji na Madiwani. Ukiona mtu anafanya kazi za Halmashauri, ujue kimemtoka kitita. Kufidia hasara ndo tunaona kazi mbovu, Zege la mifuko 6 sement inaisha kuwekwa mifuko 3!
  2. Utaalam mdogo kihandisi Halmashauri- Wahandisi wengi Halmashauri hawana Technical back up yaani kazi ziatolewa kwamisingi ya estimates tu na hakuna upembuzi wa kitaalam unafanywa. Michoro ya kai hakuna!
  3. Hakuna usimamizi wa Kitaalam- karibu kazi zote za Halmashauri usimamizi hakuna kutokana na kukosa kitu inaitwa a "Complete Project Package". Project package ina maana Design, Michoro, Msimamizi, Maabara ya ku control viwango vya kazi yenyewe.
  4. Miradi huwa haina Fedha-Ni jambo la kawaida kabisa kuwa miradi mingi ya Halmashauri huwa haina kabisa fedha za utekelezaji. Na kama zikiwapo hizo fedha zinakodolewa macho na huwa hazimfikii mkandarasi kwa wakati unaostahili. Hivyo kazi kusua sua na kuchelewa kukamilishwa. Ni watu wajinga tu ati wanategemea mkandarasi akakope benki kwa riba ya 25% ili akamilishe kazi, wakati hakuna kipengele cha kufidiwa hasara ya mkopo.
  5. Miradi kuingiliwa na wanasiasa-wengiwana omba omba vifusi, michango ya lazima kwa vyama vya siasa, kazi kwa watoto wao n.k.

Yapo mengi sana yanayo wakuta makandarasi kazini.
Cha kujiuliza na chenye mantiki, mbona TANROADS wameyapunguza sana matatizo ya kiutendaji katika miradi?
Halmashauri haiwezi kutenda kazi za ujenzi wa barabara kwa misingi hafifu sana ya kitaalam iliyopo.
Kwa hiyo Makonda atafukuza wengi mkoani kwake bial kujua matatizo yanayoyakabili ujenzi wa barabara koani kwake.
Wasalaam Muwakilishi wa Rais, RC Paul Makonda.
 
Attachments

Anapenda Beef na Ruge huyu mtu sijawahi ona
 
Ha ha ha haaaa
Uo ukali umeuona kwenye ndoto zako za kiwibu na tamaa na kuwa mmoja wa haonmnaopigwa chini kwa kupenda kufanya kazi kwa kiwangobkidogo huku mkipokea pesa.

Sasa kwanini haukwenda pale ukaona walianzaje na kwanini aendelee kusikiliza blah blah blah ambazo hazitabadili kitu.

Ukipata muda sikiliza kideo chote uone jinsi hao uoiowataja na wengine na wafanyakazi wa serikali wanavyopenda kupiga pesa.

Hii ni awamu ya tano sio ya mchezo mchezo kabisaaaaaa na mkoa wa Dar hadi raha kuona hawa wapenda kufuja pesa kwa kazi mbaya ili kila mwaka warudie kazi ile ile wawnde hukooo.. mida yao imepita.

Bila ķusahau mkutano ulikuwa mzuri sana na wao wenye nia njema wamefurahia mengi yaliongelewa.

Hiyo ya kufukuza unaandika kama unataka kuchochoe.. imekuingia moyoni no kufuja pesa ovyo tena... hujui kuna kitengo kipya sasa cha kudeal na barabara pia.. na kwamba Tanroads.. wao.. wengine kila mtu anajua barabara yake ipi inamuhusu au vipeeeee... so sio kila kitu halmashauri eeeeeh jione kwanza... amebana eeeeh wiki hii unejikuta huna hamu eeeeh unakuja na eti kumsingizia eeeeh

Makonda oyeeeeee
 
Naona amekosa 10% ndiyo maana amekuwa mkali
 
Tulia basi, andika taratibu ueleweke.
 
Tatizo la rushwa katika miradi ya ujenzi ni kubwa sana.
Kinachohubiriwa kwenye majukwaa ya kisiasa ni tofaui kabisa na ukweli wenyewe.

Watendaji, wanasiasa wanawatumia sana wakandarasi kujikusanyia fedha bila jasho , ila uwajibikaji wa kazi mbaya anaachwa mkandarasi.

Kna kila dalili kuwa ugomvi huu wa wakandarasi tajwa na mkuu wa mkoa kuna moshi unaofuka!
Moto uko chini.
 
Ha ha ha haaaa
Uo ukali umeuona kwenye ndoto zako za kiwibu na tamaa na kuwa mmoja wa haonmnaopigwa chini kwa kupenda kufanya kazi kwa kiwangobkidogo huku mkipokea pesa.

Sasa kwanini haukwenda pale ukaona walianzaje na kwanini aendelee kusikiliza blah blah blah ambazo hazitabadili kitu.

Ukipata muda sikiliza kideo chote uone jinsi hao uoiowataja na wengine na wafanyakazi wa serikali wanavyopenda kupiga pesa.

Hii ni awamu ya tano sio ya mchezo mchezo kabisaaaaaa na mkoa wa Dar hadi raha kuona hawa wapenda kufuja pesa kwa kazi mbaya ili kila mwaka warudie kazi ile ile wawnde hukooo.. mida yao imepita.

Bila ķusahau mkutano ulikuwa mzuri sana na wao wenye nia njema wamefurahia mengi yaliongelewa.

Hiyo ya kufukuza unaandika kama unataka kuchochoe.. imekuingia moyoni no kufuja pesa ovyo tena... hujui kuna kitengo kipya sasa cha kudeal na barabara pia.. na kwamba Tanroads.. wao.. wengine kila mtu anajua barabara yake ipi inamuhusu au vipeeeee... so sio kila kitu halmashauri eeeeeh jione kwanza... amebana eeeeh wiki hii unejikuta huna hamu eeeeh unakuja na eti kumsingizia eeeeh

Makonda oyeeeeee
Andika ukiwa umetulia..
Ulichoandika hakielewiki.. Tabu tupu kwenye kusoma michango wako..
Unakuwa kaa umebanwa na pe.di bwana..!!
 
Rushwa-si uongo kuwa kazi za ujenzi za Halmashauri zote nchini zinaongoza kwa kuwa na rushwa kubwa. Wafaidika wakiwa watendaji na Madiwani . Ukiona mtu anafanya kazi za Halmashauri, ujue kimemtoka kitita. Kufidia hasara ndo tunaona kazi mbovu, Zege la mifuko 6 sement inaisha kuwekwa mifuko 3!
Umemaliza mwenyewe sio sababu kwa nini unamlaumu Makonda wakati umebainisha tatizo la rushwa
 
Ha ha ha haaaa
Uo ukali umeuona kwenye ndoto zako za kiwibu na tamaa na kuwa mmoja wa haonmnaopigwa chini kwa kupenda kufanya kazi kwa kiwangobkidogo huku mkipokea pesa.

Sasa kwanini haukwenda pale ukaona walianzaje na kwanini aendelee kusikiliza blah blah blah ambazo hazitabadili kitu.

Ukipata muda sikiliza kideo chote uone jinsi hao uoiowataja na wengine na wafanyakazi wa serikali wanavyopenda kupiga pesa.

Hii ni awamu ya tano sio ya mchezo mchezo kabisaaaaaa na mkoa wa Dar hadi raha kuona hawa wapenda kufuja pesa kwa kazi mbaya ili kila mwaka warudie kazi ile ile wawnde hukooo.. mida yao imepita.

Bila ķusahau mkutano ulikuwa mzuri sana na wao wenye nia njema wamefurahia mengi yaliongelewa.

Hiyo ya kufukuza unaandika kama unataka kuchochoe.. imekuingia moyoni no kufuja pesa ovyo tena... hujui kuna kitengo kipya sasa cha kudeal na barabara pia.. na kwamba Tanroads.. wao.. wengine kila mtu anajua barabara yake ipi inamuhusu au vipeeeee... so sio kila kitu halmashauri eeeeeh jione kwanza... amebana eeeeh wiki hii unejikuta huna hamu eeeeh unakuja na eti kumsingizia eeeeh

Makonda oyeeeeee
Unatia aibu kwa kuandika ujinga! kwanza ueleweki unaandika nini na wewe utakuwa mmoja kati ya waliopata vyeo pale lumumba kwa elimu ya darasa la saba kama huyo Bashite
 
Kwa hili tena mnampinga Makonda? Sasa mnataka asimamieje miradi kama c kwa kuanza na hao wakandarasi wajanja wajanja?

Nimeiona clip, kwa maoni yng amejitahidi kutomchekea nyani asije akavuna mabua, maana hawa hawa wanaoona anakosea kukemea na kuwapiga marufuku ndio baadae wakitembelea barabara mbovu wanaanza kumponda!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna clip inatembea mitandaoni kuhusiana na mkutano wa RC Makonda jijini pamoja na wadau wa barabara za Dar es salaam.
Makonda anaonekana kuwakemea Makandarasi wawili, Dek Monte na Skol kwa kusababisha barabara kujengwa chini ya viwango Jijini.
Anaonekana Makongda akiwaambia kwa ukali" KAA CHINI", hao makandarasi wakijaribu kujieleza.
Mbaya Zaidi anwaambia kuwa katika mkoa wake wasipewe kandarasi aina yoyote ile na kuwaagiza Wakurugenzi aione kuwapa hao kazi Jinjini Dar.

Mi nafikiri maoni ya Makonda hayana kina cha kitaalam na hayana msingi wa uchunguzi wa utendaji kitaalam na kimikataba.

Jijini Dar es salaam na Halmashauri ningi kuna matatizo mukbwa yafuatayo
  1. Rushwa-si uongo kuwa kazi za ujenzi za Halmashauri zote nchini zinaongoza kwa kuwa na rushwa kubwa. Wafaidika wakiwa watendaji na Madiwani. Ukiona mtu anafanya kazi za Halmashauri, ujue kimemtoka kitita. Kufidia hasara ndo tunaona kazi mbovu, Zege la mifuko 6 sement inaisha kuwekwa mifuko 3!
  2. Utaalam mdogo kihandisi Halmashauri- Wahandisi wengi Halmashauri hawana Technical back up yaani kazi ziatolewa kwamisingi ya estimates tu na hakuna upembuzi wa kitaalam unafanywa. Michoro ya kai hakuna!
  3. Hakuna usimamizi wa Kitaalam- karibu kazi zote za Halmashauri usimamizi hakuna kutokana na kukosa kitu inaitwa a "Complete Project Package". Project package ina maana Design, Michoro, Msimamizi, Maabara ya ku control viwango vya kazi yenyewe.
  4. Miradi huwa haina Fedha-Ni jambo la kawaida kabisa kuwa miradi mingi ya Halmashauri huwa haina kabisa fedha za utekelezaji. Na kama zikiwapo hizo fedha zinakodolewa macho na huwa hazimfikii mkandarasi kwa wakati unaostahili. Hivyo kazi kusua sua na kuchelewa kukamilishwa. Ni watu wajinga tu ati wanategemea mkandarasi akakope benki kwa riba ya 25% ili akamilishe kazi, wakati hakuna kipengele cha kufidiwa hasara ya mkopo.
  5. Miradi kuingiliwa na wanasiasa-wengiwana omba omba vifusi, michango ya lazima kwa vyama vya siasa, kazi kwa watoto wao n.k.

Yapo mengi sana yanayo wakuta makandarasi kazini.
Cha kujiuliza na chenye mantiki, mbona TANROADS wameyapunguza sana matatizo ya kiutendaji katika miradi?
Halmashauri haiwezi kutenda kazi za ujenzi wa barabara kwa misingi hafifu sana ya kitaalam iliyopo.
Kwa hiyo Makonda atafukuza wengi mkoani kwake bial kujua matatizo yanayoyakabili ujenzi wa barabara koani kwake.
Wasalaam Muwakilishi wa Rais, RC Paul Makonda.
Huku tunakoelekea ni pabaya sana kwa kuwa sasa matamko yamegeuka kuwa sheria. Tatizo la Bashite ana uelewa mdogo sana kutokana na kutokuwa na elimu hata ya kidato cha nne. Kila kazi iwe ya ukandarasi au yoyote ile ni lazima iwe na mkataba ambao ndiyo unakuwa kama msahafu wa kazi husika. Iwapo mkandarasi amekiuka taratibu za ujenzi zilizoainishwa kwenye Mkataba taratibu zipo za kufuatwa na sio kumuambia eti marufuku kufanya kazi katika Mkoa wangu! Bashite yeye ni nani mpaka atoe kauli kama hii? hii ni kazi ya vyombo husika ambavyo vipo kwa ajili mambo kama haya! Bashite kwa taarifa yake hajui kama CRB na PPRA ndiyo wenye mamlaka ya kuyaadhibu makampuni kama haya au aliamua kumfurahisha "Bwana hasara" kwa kumshughulikia SKOL ambaye alimfanyia fitna kwa JK na kuachwa JKNIA wakati akisafiri kwenye ziara nje ya Nchi? Bashite anapaswa kubadilika Cheo ni dhamana na kina mwisho akumbuke anaweza kushtakiwa baadaye kwa matumizi mabaya ya madaraka na watu wanazo takwimu za matendo yake
 
Pamoja na kufurahishwa na bidii zake nyingine kama vita thidi ya mihadarati lakini sasa naona anavuka mipaka! Katoa wapi mamlaka ya yeye mmoja tu kuzifungia kampuni za kizalendo zilizokuwa zinainukia vizuri zisifanye kazi Dar?
NB: MAKOSA NI SEHEMU YA KUJIFUNZA!
 
Ha ha ha haaaa
Uo ukali umeuona kwenye ndoto zako za kiwibu na tamaa na kuwa mmoja wa haonmnaopigwa chini kwa kupenda kufanya kazi kwa kiwangobkidogo huku mkipokea pesa.

Sasa kwanini haukwenda pale ukaona walianzaje na kwanini aendelee kusikiliza blah blah blah ambazo hazitabadili kitu.

Ukipata muda sikiliza kideo chote uone jinsi hao uoiowataja na wengine na wafanyakazi wa serikali wanavyopenda kupiga pesa.

Hii ni awamu ya tano sio ya mchezo mchezo kabisaaaaaa na mkoa wa Dar hadi raha kuona hawa wapenda kufuja pesa kwa kazi mbaya ili kila mwaka warudie kazi ile ile wawnde hukooo.. mida yao imepita.

Bila ķusahau mkutano ulikuwa mzuri sana na wao wenye nia njema wamefurahia mengi yaliongelewa.

Hiyo ya kufukuza unaandika kama unataka kuchochoe.. imekuingia moyoni no kufuja pesa ovyo tena... hujui kuna kitengo kipya sasa cha kudeal na barabara pia.. na kwamba Tanroads.. wao.. wengine kila mtu anajua barabara yake ipi inamuhusu au vipeeeee... so sio kila kitu halmashauri eeeeeh jione kwanza... amebana eeeeh wiki hii unejikuta huna hamu eeeeh unakuja na eti kumsingizia eeeeh

Makonda oyeeeeee
Jinsia gani huyu?mbona anashabikia kwa mahaba kabisa mpk anahuisha kufikiri? Kiini cha matatizo sio kampuni za ujenzi ni mfumo WA upatikanaji WA tenda umegubikwa na rushwa mno wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna clip inatembea mitandaoni kuhusiana na mkutano wa RC Makonda jijini pamoja na wadau wa barabara za Dar es salaam.
Makonda anaonekana kuwakemea Makandarasi wawili, Dek Monte na Skol kwa kusababisha barabara kujengwa chini ya viwango Jijini.
Anaonekana Makongda akiwaambia kwa ukali" KAA CHINI", hao makandarasi wakijaribu kujieleza.
Mbaya Zaidi anwaambia kuwa katika mkoa wake wasipewe kandarasi aina yoyote ile na kuwaagiza Wakurugenzi aione kuwapa hao kazi Jinjini Dar.

Mi nafikiri maoni ya Makonda hayana kina cha kitaalam na hayana msingi wa uchunguzi wa utendaji kitaalam na kimikataba.

Jijini Dar es salaam na Halmashauri ningi kuna matatizo mukbwa yafuatayo
  1. Rushwa-si uongo kuwa kazi za ujenzi za Halmashauri zote nchini zinaongoza kwa kuwa na rushwa kubwa. Wafaidika wakiwa watendaji na Madiwani. Ukiona mtu anafanya kazi za Halmashauri, ujue kimemtoka kitita. Kufidia hasara ndo tunaona kazi mbovu, Zege la mifuko 6 sement inaisha kuwekwa mifuko 3!
  2. Utaalam mdogo kihandisi Halmashauri- Wahandisi wengi Halmashauri hawana Technical back up yaani kazi ziatolewa kwamisingi ya estimates tu na hakuna upembuzi wa kitaalam unafanywa. Michoro ya kai hakuna!
  3. Hakuna usimamizi wa Kitaalam- karibu kazi zote za Halmashauri usimamizi hakuna kutokana na kukosa kitu inaitwa a "Complete Project Package". Project package ina maana Design, Michoro, Msimamizi, Maabara ya ku control viwango vya kazi yenyewe.
  4. Miradi huwa haina Fedha-Ni jambo la kawaida kabisa kuwa miradi mingi ya Halmashauri huwa haina kabisa fedha za utekelezaji. Na kama zikiwapo hizo fedha zinakodolewa macho na huwa hazimfikii mkandarasi kwa wakati unaostahili. Hivyo kazi kusua sua na kuchelewa kukamilishwa. Ni watu wajinga tu ati wanategemea mkandarasi akakope benki kwa riba ya 25% ili akamilishe kazi, wakati hakuna kipengele cha kufidiwa hasara ya mkopo.
  5. Miradi kuingiliwa na wanasiasa-wengiwana omba omba vifusi, michango ya lazima kwa vyama vya siasa, kazi kwa watoto wao n.k.

Yapo mengi sana yanayo wakuta makandarasi kazini.
Cha kujiuliza na chenye mantiki, mbona TANROADS wameyapunguza sana matatizo ya kiutendaji katika miradi?
Halmashauri haiwezi kutenda kazi za ujenzi wa barabara kwa misingi hafifu sana ya kitaalam iliyopo.
Kwa hiyo Makonda atafukuza wengi mkoani kwake bial kujua matatizo yanayoyakabili ujenzi wa barabara koani kwake.
Wasalaam Muwakilishi wa Rais, RC Paul Makonda.
Nawe ni boya vilevile; kama hao makandarasi waliokula fedha zetu wakaenda kujijengea nyumba za kifahali ili waishi kama wafalme na familia zao! Huku Watanzania wengi wakiteseka kwa ajili ya upumbavu uchu, na uroho wa hawa makandarasi tunaowaita wazawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
100% nakibaliana na wewe niliomba kazi halmshauri moja kanda ya ziwa budget ilikua 78milion watumishi karibu 80% waliitolea macho na nikiombwa chai 25milion... Tanzania nchi yangu
 
Huku tunakoelekea ni pabaya sana kwa kuwa sasa matamko yamegeuka kuwa sheria. Tatizo la Bashite ana uelewa mdogo sana kutokana na kutokuwa na elimu hata ya kidato cha nne. Kila kazi iwe ya ukandarasi au yoyote ile ni lazima iwe na mkataba ambao ndiyo unakuwa kama msahafu wa kazi husika. Iwapo mkandarasi amekiuka taratibu za ujenzi zilizoainishwa kwenye Mkataba taratibu zipo za kufuatwa na sio kumuambia eti marufuku kufanya kazi katika Mkoa wangu! Bashite yeye ni nani mpaka atoe kauli kama hii? hii ni kazi ya vyombo husika ambavyo vipo kwa ajili mambo kama haya! Bashite kwa taarifa yake hajui kama CRB na PPRA ndiyo wenye mamlaka ya kuyaadhibu makampuni kama haya au aliamua kumfurahisha "Bwana hasara" kwa kumshughulikia SKOL ambaye alimfanyia fitna kwa JK na kuachwa JKNIA wakati akisafiri kwenye ziara nje ya Nchi? Bashite anapaswa kubadilika Cheo ni dhamana na kina mwisho akumbuke anaweza kushtakiwa baadaye kwa matumizi mabaya ya madaraka na watu wanazo takwimu za matendo yake
Hao wakandarasi inabidi waende mahakamani ili kupata ufafanuzi wa haki zao za kufanyabkazinpopote nchini kwa mujibu wa katiba mama.
 
Back
Top Bottom