Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,190
- 29,941
- Thread starter
- #21
Huu ndio ujinga unaoendelea nchini, halafu wanasiasa wanawakomalia wakandarasi tu.100% nakibaliana na wewe niliomba kazi halmshauri moja kanda ya ziwa budget ilikua 78milion watumishi karibu 80% waliitolea macho na nikiombwa chai 25milion... Tanzania nchi yangu