wa hapahapa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 7,455
- 4,390
Nimepata habari kutoka Redioni kwamba mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Mhe. Paul Makonda kutaka viongozi wa Serikali za Mtaa kupita nyumba hadi nyumba kutambua watu wasio kuwa na kazi.
*Haya maagizo yawe yanajali haki za raia na kuzingatia sheria...
=============
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda, ametangaza msako wa nyumba kwa nyumba kwa wakazi wa Dar es salaam wasiokuwa na Kazi maalum za kufanya amesema Jeshi la polisi litaanza msako huo wakati wowote na ameomba ushirikiano wa viongozi wa serikali za mitaa, viongozi ambao hawatatoa ushirikiano watakamatwa na kutiwa nguvuni.