Makomandoo wa ISIS

Tee Bag

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
7,220
Reaction score
5,627
Hapa wabanja matofali watanyakwa mateka kama kuku wenye videri,
Cc😡NAPITA, mshana jr, @ Tyta, Excel, watu8
 

Attachments

  • 1412018604889.jpg
    43.7 KB · Views: 1,655
Last edited by a moderator:
Hawa nao wanauliwa kabisa?

Dah!
 
Kumbe hadi wanawake nao wanapambana ISIS?
Nilidhani kwa mujibu wa dini yao mwanamke ni wa kukaa nyumbani na watoto tu
 
Tusidanganyane mkuu. ISIS wapendeze hivyo?
 
Ona picha zaidi za ISIS... hao warembo waikuwa kwenye movie ya anaconda tu!

 
ISIS ni zaidi ya hao warembo kijana!

 
Mwangalie vizuri mwanamke aliyeshikilia bunduki hapo nyuma...

tofauti kabisa na hawa wanamitindo wako...

 
waangaie hawa hapa waivyovaa.. angalau kidooogo wameendana
 
unasubiri akuzalie kwanza mkuu! imagine huyu ndo miss neddy.. hivi utamuua kweli?

Mkuu nimecheka mpaka nikacheka tena, mungu wangu mungu wangu mbona nateseka? Siku ambayo nimelala na furaha bas leo ni yakwanza, wallah simuui na hifadhi nampa huyu mtt
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nimecheka mpaka nikacheka tena, mungu wangu mungu wangu mbona nateseka? Siku ambayo nimelala na furaha bas leo ni yakwanza, wallah simuui na hifadhi nampa huyu mtt

umeona sasa mapenzi yaivyo ya ajabu eenh? unaweza kufa badala yake wakati ni adui yako!
 
Hawa siyo Makomandoo wa ISIS bali ni Kondoo wa ISIS

Hao kwanza ni watanzania! ukiangalia vizuri hiyo picha utagundua wazi kabisa kuwa hao ni wachaga kutoka moshi wakijaribu kusaka pesa! (si unajua tena mambo ya onesha pesa ilipo? lol)
 
Hahahaaa! jicho nyanya tayari... utapigwa risasi za kila rangi wewe!

kwani ue mpango wako wa kumpenda umekosa sponsor ama?
Huyu mtt !!!!! Wallahi mungu shahidi, amenikamata pabaya, ninaiman nikimpata atanitesa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…