Wale waarabu walitumwa kuua sio kucheza ngonjera mzee π, RPG ni kwaajili ya matumizi makubwa lakini analengwa mtu, ile movie ni kibokoIle ni burudani tu...angalia na lone survivor..
Ndio hali halisi ya uwanja wa vita...Wale waarabu walitumwa kuua sio kucheza ngonjera mzee π, RPG ni kwaajili ya matumizi makubwa lakini analengwa mtu, ile movie ni kiboko
Hajui kuwa movie hufuata script.Movie zinazidisha nje ya uhalisia ili ipate mauzo na kuvutia, huwezi Kupigana na watu zaid ya 15 kwa wakati mmoja na wengine wana silaha za moto alafu uwawahi wote kuwanyang'anya bila kukutandika risasi huku ww ukiwa hauna silaha.
Ni Mara kadhaa movie zimekua zikionyesha matukio ya staili hiyo ambayo siyo uhalisia.
Kizaazaa siyo kilianzia kwa dogo wa kiarabu yule mchunga mbuzi
Bila shaka ndio tukio hilo..Kizaazaa siyo kilianzia kwa dogo wa kiarabu yule mchunga mbuzi
Moja ya movie pendwa kabisa ile unaweza sema jamaa hawaigizi aisee.Ile ni burudani tu...angalia na lone survivor..
ππ Dogo akaenda choma utambi, wazee wa makobasi hawakulaza damu.
Asikwambie mtu, pale kama ulipita kwa "Baba kanituma" utarudi unaimba "Mama yoyoyoooo"ππ Dogo akaenda choma utambi, wazee wa makobasi hawakulaza damu.
Kabisa mkuu.Asikwambie mtu, pale kama ulipita kwa "Baba kanituma" utarudi unaimba "Mama yoyoyoooo"
Moja ya movie kali sana zinatoa walau mwanga kwa kile askari wetu hukifanya/hupitia katika uwanja wa medani.
Btw, how are you bro Vishu?
Mi sijuagi majina ya movie,nacheki action zikikaa ki- cocastic kokastic natoa, ikikaa vizuri naangalia mpaka mwisho.Movie gani hii?
Tumshukuru Mungu, sote tu wazima kaka.Kabisa mkuu.
Niko poa mkuu, hofu kwako.
Angalia movies ya strike back,12 strong, hokesridge, jihad1and2, the seal team, ndio zina uhalisia wa vita zilivyoAsikwambie mtu, pale kama ulipita kwa "Baba kanituma" utarudi unaimba "Mama yoyoyoooo"
Moja ya movie kali sana zinatoa walau mwanga kwa kile askari wetu hukifanya/hupitia katika uwanja wa medani.
Btw, how are you bro Vishu?