Makomando tuwaonao huko kwenye movies ndio hao wanaopatikana kwenye mazingira halisi ( jamii )

Angalia movies ya strike back,12 strong, hokesridge, jihad1and2, the seal team, ndio zina uhalisia wa vita zilivyo
Bila shaka Mimi hizo zote nimeziangalia, japo majina huwa sikariri hata kidogo.

Kuna moja inaitwa BLACKHAWK DOWN sijui.. tambala limechezewa kwa history ya vita Somalia..

Zinamwaga njugu mpaka unayeangalia mkono unakuwasha.
 
Vita sio story za vijiweni... lonesurvivor kidogo ina uhalisia na ile inaitwa saving private ryan... moto wa kuotea mbali
 
Back
Top Bottom