Makocha waliojijengea "image"na Timu zao kwa muda wote!

Source07

Senior Member
Oct 5, 2018
196
352
Kwenu wanamichezo...kunawakati hufika ukiwa unamiliki kitu basi kile huenda na kubeba taswira yako..kiasi hata mtu mwingine akikiuona maramoja huona image yako..na ndipo unaposikia mtu akisema hichi kimefanana na ww..iwe gari,viatu au hata simu..
Hivyo hali hiyo hiyo imejijenga ktk timu mbali mbali za mpira.. Ukiziona timu hizo basi lazima image za makocha wao zikujie kichwani kwa maana wamefanana na Team zao..hii yapa ni list ya hao makocha na Tim zao!

1-Sir Alex Ferguson -Man Utd
Niwazi kwamba kila ukiiangalia Utd ikiwa inacheza iwe OT basi image ya Fergy inakujia au unapomuona yeye basi huona unaiyona taswira ya Man Utd ktk Uso wake... Wamefanana!

2-Arsen Wenger_Arsenal
Hakuna shaka yakwamba yakusema mzee Wenger ameibeba taswira ya Arsenal.. Achilia mbali kufanana kwa jina lake na timu Bali pia babu Wenger amefanana na Timu hivyo ni vigumu kuiangalia Arsnl bila kuiona image ya Mzee Wenger!

3-David Moyes_Everton
Japo kua aliteuliwa kua mrithi wa Fergy pale Utd mwaka2013 kwa mkataba wamiaka 6 lakin akidumu kwa miezi18 tu! Moyes niukweli kwamba image yake imefanana na Everton..hivyo ukimuangalia Moyes unaiona Everton!

4_José Morinho_Chelsea
Tangu alipojiunga nayo Mouh Ameweza kujujengea image ambayo haiwezi kuja kufutika kirahisi ndani ya Club hiyo..Mouh amefanana na Chelsea na Chelsea imefanana na Mourinho!

5_Raffa Benitez -Liverpool
Liverpool imekua ktk kiwango bora tangu ujio wa Klopp lakin niwazi kwamba kila ukiangalia Liverpool ikiwa pale Anfied ni Benitez tu ndio taswira yake imejijenga kwa majogoo hao wa jiji!

6_Jurgen Klopp _Borrusious Dortmund
Ukiwa pale Signal Iduna Park ukiwaangalia mashabiki wakipeperusha Bendera za Tim yao baasi image ya Klopp nayo inajichora ktk Benchi la ufundi la team hiyo..Klopp amefanana na BvB!

7_Pep Guardiola_ Fc Barcelona
Pep unaye muona Man City au uliye muona Munich si yule uliyemuona akiwa na Barca..image yake imebebwa na Barca..

8_Marcio Maxime_Taifa Stars
Tunapoiombea Leo timu ifanye vizuri.. Lakin timu inapokua Taifa basi ni image ya Maxime ndio inaonekana..amefanana nayo!

Hawa ndio baadhi ya makocha waliojijengea images zao na team zao kwa muda wote.!
 
Maxime-->Maximo.. by the way hapo kwa Klopp nadhani angefaa zaidi na Liverpool coz amepata na bado anaendelea kupata mafanikio makubwa akiwa,hapo Majogooni...Ila hujamtendea haki Diego Simioné mwenye Atletico Madrid yake pamoja,na Vicentè del Bosquè mwenye Spain yake. Uzi mzuri sana huu.
 
Umeongea ukweli mtupu ila umekosea tu kidogo kimaandishi kocha wetu bora kabisa wa taifa stars aliitwa Marcio Basilio Maximo na Mexime alikuwa mchezaji wake na kapteni wa timu kabla ya ukapteni kukabidhiwa Shadrack Nsajigwa!
 
Maxime-->Maximo.. by the way hapo kwa Klopp nadhani angefaa zaidi na Liverpool coz amepata na bado anaendelea kupata mafanikio makubwa akiwa,hapo Majogooni...Ila hujamtendea haki Diego Simioné mwenye Atletico Madrid yake pamoja,na Vicentè del Bosquè mwenye Spain yake. Uzi mzuri sana huu.
Na yule babu wa nywele nyeupe na Bayern yake yaani ilikuwa usombe kukutana nao!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom