Makinikia yamekamatwa mbona dhahabu bado inapanda ndege kwenda Ulaya?

Za asbh wadau.

Naomba mnisaidie kuliweka sawa hili jambo kuhusu rasolimali zetu.

Mara baada ya kupitishwa sheria mpya jee
1. Yale makinikia ni yetu au yao?

2. Ile dhahabu inayosafishiwa machimboni kama north Mara Buzwagi na kwingineko inakuwaje.

3. Ile mikataba tuliyoambiwa ni ya kinyonyaji ishafumuliwa au mchakato wa kuifumua uko kwwnye sheria hz mpya.

Vinginevyo nitashukuru sana Kwa kunielimisha na kunisaidia
ili tuweze kushikiana kulindabrasilimali zetu . asante
Unaijua maana ya kutafuta kiki kwa kutumia pikipiki ya boxer ?
 
Back
Top Bottom