Makinikia yamekamatwa mbona dhahabu bado inapanda ndege kwenda Ulaya?

Zamazangu

JF-Expert Member
May 16, 2015
790
408
Za asbh wadau.

Naomba mnisaidie kuliweka sawa hili jambo kuhusu rasolimali zetu.

Mara baada ya kupitishwa sheria mpya jee
1. Yale makinikia ni yetu au yao?

2. Ile dhahabu inayosafishiwa machimboni kama north Mara Buzwagi na kwingineko inakuwaje.

3. Ile mikataba tuliyoambiwa ni ya kinyonyaji ishafumuliwa au mchakato wa kuifumua uko kwwnye sheria hz mpya.

Vinginevyo nitashukuru sana Kwa kunielimisha na kunisaidia
ili tuweze kushikiana kulindabrasilimali zetu . asante
 
Mapanki yamezuiwa minofu inachimbwaa sio maneno yangu hayo lissu huyoooo

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Ulishaambiwa sheria hizi mpya hazihusu migodi au mikataba iliyopo kwa sasa

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
 
Ha ha nazani ule utafiti wa kila watu wa nne mmoja ni kichaa ni kweli na huu ugonjwa wanao sana upinzani.. Ishu ya makinikia ilisemwa kwanini yamezuiwa.. Sababu iko wazi makubaliano yamekiukwa, Mosi kiwango cha madini yaliyopo katika contena la makinikia.. Walidai zipo aina Tatu tu, na dhahabu ni 0.5, lakini kilichokutwa sio hiko.. Ndio maana mwenye BARICK alikuja bongo..

Unashangaa mtu anaandika tu kujaza JF
 
Adharus hujanijibu. baada ya sheria kupitishwa makinikia yanakuwa ya nani? Acacia c walikiuka makubaliano Kwa hiyo n wezi jee kama tumewakamata wezi wetu Mali iliyokamatwa n ya nani. ? isijekuwa kama fedha za escrow huyu anasema za umma huyu anasema za Ruge.
 
Mzee aliishiwa pumzi akatafuta kiki ya makinikia sasa yupo kimya..maji ya shingo.Eti Sheria mpya haihusu mikataba ya zamani. Ni kichaa gani atakuja kuwekeza Tanzania kipindi hiki cha "bulldozer"?

Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
 
Sisi wananchi tuliambiwa tupewe magwangala, Serikali inataka makinikia, dhahabu tumewaachia wazungu, aisee kweli watanzania tumelogwa
 
Mzee aliishiwa pumzi akatafuta kiki ya makinikia sasa yupo kimya..maji ya shingo.Eti Sheria mpya haihusu mikataba ya zamani. Ni kichaa gani atakuja kuwekeza Tanzania kipindi hiki cha "bulldozer"?

Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
mi sidhani kama unaelewa maana ya mkataba!!.. hlf mnalaumu serikali ya tano hivi yenyewe ndo ilisaini hiyo mikataba..? mnataka sheria ya sasa iingie kwenye mikataba ambayo imeshasainiwa it means kuuvunja hizo gharama zikilipwa kwa kodi zetu si tutalalamika tena!..
Wkt wanasema kuna ukoloni mambo leo ulifikiri ni maneno ya hayawani pasipo vitendo..? ndio maana waafrika tunaambiwa tuna low IQ sidhani kama wamekosea ikiwa mtu unaenda kusaini mkataba wa nchi yako kupata 5%!!

leo hii watu wameanza kujadili hadi rais kuongezewa ulinzi kana kwamba ni jambo baya! sasa sijui kuna kitu huwa kinatokea bila sbb! hilo wanajua wao ila ukweli wa maisha yako unaujua wewe na watu baadhi..
 
Za asbh wadau.

Naomba mnisaidie kuliweka sawa hili jambo kuhusu rasolimali zetu.

Mara baada ya kupitishwa sheria mpya jee
1. Yale makinikia ni yetu au yao?

2. Ile dhahabu inayosafishiwa machimboni kama north Mara Buzwagi na kwingineko inakuwaje.

3. Ile mikataba tuliyoambiwa ni ya kinyonyaji ishafumuliwa au mchakato wa kuifumua uko kwwnye sheria hz mpya.

Vinginevyo nitashukuru sana Kwa kunielimisha na kunisaidia
ili tuweze kushikiana kulindabrasilimali zetu . asante

Serikali na raia wake ni kama mtu mzima na mtoto mdogo
 
Bado kitambo kidogo, makinikia yatabaki kuwa mzigo usio kuwa na faida kwani dhahabu yote wataikamua huko huko mgodini.
 
Ha ha nazani ule utafiti wa kila watu wa nne mmoja ni kichaa ni kweli na huu ugonjwa wanao sana upinzani.. Ishu ya makinikia ilisemwa kwanini yamezuiwa.. Sababu iko wazi makubaliano yamekiukwa, Mosi kiwango cha madini yaliyopo katika contena la makinikia.. Walidai zipo aina Tatu tu, na dhahabu ni 0.5, lakini kilichokutwa sio hiko.. Ndio maana mwenye BARICK alikuja bongo..

Unashangaa mtu anaandika tu kujaza JF
Ukumbuke kwamba Aina za madini na kiwango kilichopo kwenye makinikia ulikua unathibitishwa na TMAA na ndio waliokua wanatoa kibali baada ya kucheki.
Kwahiyo si kweli kwamba Acacia walikua wanadanganya.. Kama urongo basi ulikua unafanywa na watanzania wenzetu.

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Kinachotakiwa kufanywa ni kuwafungulia mashitaka na kuwafunga watanzania wenzetu ambao walikua wanapima na kutoa taarifa za urongo!!!

Muhimu KUJUA

¤ Kila kosa wanalotuhumiwa Barrick /Acacia... Limetengenezwa na watanzania wenyewe!!!!
Na ndio maana mpaka leo mm nashangaa kuona waliohusika wte wako uraiani!!!!

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Ukumbuke kwamba Aina za madini na kiwango kilichopo kwenye makinikia ulikua unathibitishwa na TMAA na ndio waliokua wanatoa kibali baada ya kucheki.
Kwahiyo si kweli kwamba Acacia walikua wanadanganya.. Kama urongo basi ulikua unafanywa na watanzania wenzetu.

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Kweli IQ yako iko chini mno.kwani hujui ACACIA walikua wanashirikiana na maafisa wa TMAA kutuibia?sheria zinasemaje ukishirikiana na mwizi?

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom