eddy brown
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 414
- 310
Kumbe nawe uwa unatongozwa duuu vijana wanamoyoNikiwa form three kuna kijana aliniandikia barua ya mapenzi, nikawa ninapiga story na shost kumbe na yeye aliandikiwa barua na mtu yule yule tulicheka sana kubwa zaidi alikopi maneno yale yale..
Mtafute binadamu asiye na moyo tumuweke kwenye Guinness book of recordsKumbe nawe uwa unatongozwa duuu vijana wanamoyo
Swissme
Mlimkubalia?Nikiwa form three kuna kijana aliniandikia barua ya mapenzi, nikawa ninapiga story na shost kumbe na yeye aliandikiwa barua na mtu yule yule tulicheka sana kubwa zaidi alikopi maneno yale yale..
Maana naamini kuwa uzuri wa mwanamke ni kauli zake sasa najaribu kufikiria kauli zako ni mbaya sana yaweza kuwa unafanana nazoMtafute binadamu asiye na moyo tumuweke kwenye Guinness book of records
Tulimwaga wote wawiliMlimkubalia?
Uzuri uko kwenye macho ya mtazamajiMaana naamini kuwa uzuri wa mwanamke ni kauli zake sasa najaribu kufikiria kauli zako ni mbaya sana yaweza kuwa unafanana nazo
Swissme
Asubuhi njema na huyo aliyepotea njia bye.Uzuri uko kwenye macho ya mtazamaji
Kama ulivyopotea weweAsubuhi njema na huyo aliyepotea njia bye.
Swissme
Kumbe nawe uwa unatongozwa duuu vijana wanamoyo
Swissme
Mtafute binadamu asiye na moyo tumuweke kwenye Guinness book of records
Maana naamini kuwa uzuri wa mwanamke ni kauli zake sasa najaribu kufikiria kauli zako ni mbaya sana yaweza kuwa unafanana nazo
Swissme
Uzuri uko kwenye macho ya mtazamaji
Asubuhi njema na huyo aliyepotea njia bye.
Swissme
Dah mmenichekesha sanaKama ulivyopotea wewe
Asubuhi njema mkuuDah mmenichekesha sana
ThibitishaTulimwaga wote wawili
Na kwako pia MkuuAsubuhi njema mkuu
Good Morning Auntie.Nikiwa form three kuna kijana aliniandikia barua ya mapenzi, nikawa ninapiga story na shost kumbe na yeye aliandikiwa barua na mtu yule yule tulicheka sana kubwa zaidi alikopi maneno yale yale..
Morning 2 u 2Good Morning Auntie.
SanteeeeeMorning 2 u 2
Duh! si sawa kabisaTulimwaga wote wawili