Ataungwa mkono na wapuuzi wenzioHuu ndio ushauri wa maana unaolisaidia Taifa
sio wale Vibendera na lichama lao la Vibendera kutwa kuomba mabaya tu kwa taifa!
Ndio maana ikaletwa sheria na Wazungu kupata kiwewe kikubwa kwenya majadiliano.
Tuzidi kumuunga mkono mh Rais wetu
huyu ana nia njema kwa Taifa