Makinika! Sio kila changu ni binadamu

Wanaume wanarogwa sana, ni watu wa kuwaonea huruma tu....

Mshana hivi manii zinazohitajika kumroga mwanaume ni zile fresh kutoka kwenye kichupa au hata zikishaingia nikazichota kwenye kakisima kangu zinafaa?
OMGπŸ€”!
 
Utajuaje mwenza unayetaka kuoa kama hana laana?
 
On my way sumbawanga, maombi yenu...
Maombi gani sasa unayoyataka? Ushindwe na ulegee kwa jina la Yesu, amen!
 
Ndio maana watu wa zamani kabla ya kuoa/ kuolewa Kwanza walikuwa wanachunguza kwanza historia ya ukoo ambao wanataka kujiunganisha nao kupitia kijana wao. Ilisaidia sana.

Fanya uchunguzi binafsi kufatilia historia yao, anakotoka, tabia yake, afya yake ya akili, japo Sio rahisi kufanya hayo yote mtangulize Mungu, mshirikishe sana Mungu, muombe Sana Mungu akupatie mwenza sahihi kama wewe ni mtu wa imani. Hayo ni baadhi tu
 
Kuna wengine watauliza, sasa Mimi natumia condom, simwagii ndani hayo majanga yatanipata vp?
Sikia ndugu, kwanza ukitumia condom hapo tayari umeshamrahisishia kazi, wanaume wengi akishautua mzigo huwa hajali sana kuhusu mbegu zake, hapo sasa kama yeye ni mbaya na amekukusudia ubaya anaichukua ile condom ikiwa bado inambegu then anaifunga kwa juu na anaiweka kwenye mkoba wake safari kwa mganga, hapo tayari hauna pa kuchomokea, keshakumaliza.
Wengine hupenda sana kutumia Leso kukufutia sehemu zako za ikulu pale anapomaliza jambo lenu. Kumbuka mbegu yako imebeba nafsi ndani yake. Makafara yapo kila aina,
Kiufupi tu Acha zinaa, hawa watu hawaepukiki akikusudia jambo lake, si wanawake wala si wanaume,,
Dunia imeshavua chupi,, kuwa makini
Starehe ya siku moja inaweza haribu hatima yako.
 
Heeeeh dunia imevua chupi tenaaa😲!?
 
Halafu ukute ndio zako hizo zinasafirishwa sumbawanga kwa mamaD!
[emoji23][emoji23][emoji23]aah wapi, mkuu mimi sijawahi date na watu dizaini hizo. Katika vitu sipendi ni ulozi na ushirikina.
 
Mshana hapa umewapa moyo Chaputa
 
Du! inamaana watu wanafatuna K za vinyankera?!
 
Asante sana! .. Umeandika mambo mazuri na yenye faida.
Je, unamsaidiaje mtu ambaye tayari amekwisha dhurika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…