Sasa mkuu, alikutana na jini au?Tulikuwa na kesi moja ngumu sana leo... Mwenzetu lasafiri huko makao makuu ya nchi, tamaa ikamshika, kaenda viungani akaopoa mrembo wa ukweli sana.. Wakafanya yao kwa siku tatu mfululizo alizokuwa huko! Hakunyimwa kitu...! Kapewa mahaba na ukoko wake ILA akadanganya mengi..! Moja kubwa akisema ana watoto lakini hana mke...!!! Ni wiki sasa anateseka na dunia...gearleaver imepaki.. Popo haliamki kwenda mawindoni.. True story....!!!
Pamoja na haja zetu
Pamoja na tamaa zetu
Pamoja na libido zetu...!!! Tafakuri ni muhimu sana..! Huko pahali kuna ushirikina wa kutosha sana...! Kuna mapepo, kuna mashetani, kuna majini, kuna viumbe roho nusu watu...!!!
KATAA KUBALI ushirikina upo.. Na manii zako ni malighafi inayohitajika mno huko kwenye ulimwengu wa giza...! Kumbuka pia hata nyota yako inawindwa...! Mateka wa kitoho pia wanatafutwa kupitia ngono...! Kuna watumwa wa kutosha tu wanaotumikia mamlaka za siri bila ufahamu wao kupitia ma agent wa ngono..!!!
Tamaa ya maramoja inaweza kuvuruga future yako
Tamaa ya maramoja inaweza kusambaratisha familia yako
Tamaa ya maramoja inaweza kupoteza kazi yako
Tamaa ya maramoja inaweza kukugombanisha na marafiki wema
Tamaa ya maramoja inaweza kukupa ulemavu wa maisha kiroho na kimwili...
Dunia ni zaidi ya uijuavyo.. Si kila ukionacho ni halisi..! Usiku huu wa hii weekend kuna maingizo mapya kwenye hayo madhila... Kama ukifanikiwa kusoma hii mada..! Mungu akusaidie sana..!!!
Yangu ni hayo tuu...!!!.... MSTAAFU.!
Mhurumie mwanaume mwenzetu!Wanaume wanarogwa sana, ni watu wa kuwaonea huruma tu....
Mshana hivi manii zinazohitajika kumroga mwanaume ni zile fresh kutoka kwenye kichupa au hata zikishaingia nikazichota kwenye kakisima kangu zinafaa?
Yan nimeumia na ujumbe wa mshanajr mimi nimekua addicted na malaya sio kwamba mademu nashindwa tongoza hapana zile mambo za kuulizana upo wapi unafanya nini usipo mtumia sms au kumpigia ananuna nikaona bora kula tu hizi mbuzi za usiku kwa haya nimekomaOn my way sumbawanga, maombi yenu...
Nisikilize Mimi achana na hayo mambo waweza tangulia jamaa akapata shida wee mpe anytime tu hayo mengine ya NiniNataka kushikamana
Hapo juu nshaonesha huruma Eli, kuwa wanaume wanarogwa sana ni wa kuwahurumia tu...Mhurumie mwanaume mwenzetu!
Nipo kwenye bus tayari, naelekea kwa babu na malighafi kwenye kichupaNisikilize Mimi achana na hayo mambo waweza tangulia jamaa akapata shida wee mpe anytime tu hayo mengine ya Nini
Piga bwana, baba piga, baba piga.. vunja baba, baba vunja.. uwa baba, baba uwa.. pepo toka..Najua muda huu umebanika pahala.. Sio kosa lako! Ila hata kama mengine yote hayapo HEPATITIS B IPO!
[emoji23][emoji23][emoji23]Hapo juu nshaonesha huruma Eli, kuwa wanaume wanarogwa sana ni wa kuwahurumia tu...
Ndo basi tena jamaa kwenye kundi ndo anaenda toweka laa!!.Nipo kwenye bus tayari, naelekea kwa babu na malighafi kwenye kichupa
Wanaume tunapitia mambo mengi sanaNasikia mmoja mitaa ya sinza uwa anajigeuza fisi na watu wanagonga fisi
Dooh, mazafanta walahi [emoji3]umesema kweli kabisa,nlikuwa nakaa maeneo flani hv kuna guest inalaza machangu tu wakitoka mawindo af kuna bar hapo,nliachaga biashara ya kuwanunua baada ya siku moja kuwasikia wakisema wanataka kwenda kwa mganga akambadilishie K mana ya mnyama aliyomwekea anaona haifai ana-feel kabisa anagongwa yeye,sa sijui iliwekwa ya mbuzi
umesema kweli kabisa,nlikuwa nakaa maeneo flani hv kuna guest inalaza machangu tu wakitoka mawindo af kuna bar hapo,nliachaga biashara ya kuwanunua baada ya siku moja kuwasikia wakisema wanataka kwenda kwa mganga akambadilishie K mana ya mnyama aliyomwekea anaona haifai ana-feel kabisa anagongwa yeye,sa sijui iliwekwa ya mbuzi
Duh [emoji849]umesema kweli kabisa,nlikuwa nakaa maeneo flani hv kuna guest inalaza machangu tu wakitoka mawindo af kuna bar hapo,nliachaga biashara ya kuwanunua baada ya siku moja kuwasikia wakisema wanataka kwenda kwa mganga akambadilishie K mana ya mnyama aliyomwekea anaona haifai ana-feel kabisa anagongwa yeye,sa sijui iliwekwa ya mbuzi
OMG🤔!Wanaume wanarogwa sana, ni watu wa kuwaonea huruma tu....
Mshana hivi manii zinazohitajika kumroga mwanaume ni zile fresh kutoka kwenye kichupa au hata zikishaingia nikazichota kwenye kakisima kangu zinafaa?