S scolastika JF-Expert Member Jan 26, 2019 3,784 5,554 Jun 8, 2019 #1 Baada ya serikali kufanikiwa kwa asilimia kubwa kukataza mifuko ya plastic naomba sasa ikataze mawig na makeup Najua serikali ya awamu ya tano ni sikivu hvo naamini italifanyia kazi suala hili Ebu wanaume njooni hku kwanza tusemezane
Baada ya serikali kufanikiwa kwa asilimia kubwa kukataza mifuko ya plastic naomba sasa ikataze mawig na makeup Najua serikali ya awamu ya tano ni sikivu hvo naamini italifanyia kazi suala hili Ebu wanaume njooni hku kwanza tusemezane