mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,722
Unaamka asubuhi unakuta mzigo kama huu lazima dawa ya panya ikuhusu
hahahaUnaamka asubuhi unakuta mzigo kama huu lazima dawa ya panya ikuhusu
Yani embu tangulia bar ukasuuze koo. Umefurahisha nafsi Leo kwa kichekoUnaamka asubuhi unakuta mzigo kama huu lazima dawa ya panya ikuhusu
zamani ilikua misibani ila sikuhizi misibani imegeuka pa nani zaidi katika foundations za nyuso zaondio maana wanasema mwanamke mzuri anaonekana asubuhi wahati ameamka
Hahahah, coke bashute tu inatosha hahahaYani embu tangulia bar ukasuuze koo. Umefurahisha nafsi Leo kwa kicheko