kibaizi kiki
Senior Member
- Dec 23, 2012
- 160
- 39
Huko ndio kwa Filikunjombe ama vp? Naomba kufahamishwa
yaliyotokea huko ndiyo yatakayotokea Arusha hata wahairishe mara kumi,kwa Arusha akuna atakaeiba kura tutawaomba wabunge wate wa chadema kuja kusimamia kura zinavyopingwa na katika kuesabu. sisi kama wapiga kura wala hatutaki kampeni tena.
Huko ndio kwa Filikunjombe ama vp? Naomba kufahamishwa
Huyu ni mbunge?!!!huko ni kwa Bilinith Mahenge