Makelele hotelini yananiharibia mudi ya kazi

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,163
Reaction score
64,221
Nipo hapa hotelini,chumba cha jirani wanapigana mashine huku wanapiga mayowe mpaka wananiaribia mudi ya kuandaa kazi ya kupresent kesho.Sijui na mimi nitoke nje nikatafute wangu ili nilipize makelele yao au mnanishaurije wakuu?ingawa naogopa grid....
 
mkoa gani

Dawa kawagongee hodi uombe kolabo
 
Huyo demu atakua anatokea TA, mm sjasahau nilipanga chumba flan jirani kulikua na chumba, walikua mtu na mkewe wanapigana mashine usiku mzima kelele, huku mm mashine imesimama mpaka inataka kukatika, Muarabu nilipata adhabu sijawahi kupata duh
 
ha ha ha wengi wanaopiga hizo kelele ni matapeli
 
Huyo demu atakua anatokea TA, mm sjasahau nilipanga chumba flan jirani kulikua na chumba, walikua mtu na mkewe wanapigana mashine usiku mzima kelele, huku mm mashine imesimama mpaka inataka kukatika, Muarabu nilipata adhabu sijawahi kupata duh
Unge omba mzigo na wewe ukapiga jamaa akiwa hayupo tena mchana kweupe peeee
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…