Make your own branded website kabla hujajitangaza

Make your own branded website kabla hujajitangaza

God knows

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Posts
276
Reaction score
173
Siku hizi kumekuwa na trend ya watu kujitangaza kwamba wanafanya website development and design, development of web apps, seo marketting, business email na biashara nyingine zinazohusiana na development of web based systems and the like.

Ukiangalia website yake, ni pure template ya wordpress!!

Mimi nikishaona hivyo, basi nakosa imani na huyo mtu au kampuni au biashara.

Kama kashindwa kutengeneza branded website kwa ajili ya business yake mwenyewe, ataweza kufanya kwa ajili ya mwingine.

Anza kwanza na yako ili utuoneshe mfano mzuri kwamba unajua!!

 
Haha mkuu yanini kujitaabisha na kuandika micode bana wakati WordPress ipo unacheza nayo kidogo tu mambo yanapendeza....sometimes you have to play to win, not to show how strong you are
 
Web developmnt kila siku inakua rahisi coz kuna software za kutengeneza website ila vizuri ukasoma atlst html na javascrpt ili uelewe how they work kwa faida yako
 
Ungeanza na kina wordpress joomla and the company ingekuwa mwake kweli..
 
Back
Top Bottom