Make-up zinatudanganya wanaume

Make-up zinatudanganya wanaume

public zungu

Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
42
Reaction score
42
Ndugu kwa kifupi nilifungua group LA WhatsApp LA wachumba members walikuwa wengi kiukweli nilitokea kumpenda Dada mmoja kiukweli alikuwa mrembo sana nilitumia uadmn kumremoved haukuchukua hata dakika alinifata inbox chanzo cha kumremoved nilimwambia Ukweli kuwa nimekupenda tukaanza kutumiana Picha kiukweli kila Picha aliyotuma ilinikosha roho .kuna siku alimwachia mdogo wake simu nilipiga alipokea yeye alijitambulisha anaitwa Doreen nilimuuliza swali MOJA nilivyopiga jina gani lilitokea ktk cm alijibu Ukweli Dada yke alinisave my husband nikamjb kuwa mm ni mume wake mtarajiwa ila anitumie zake zote kwani nilishaongea naye bila hiyani alianza kunitumia kwa njia ya WhatsApp sikuhamini kiukweli alikuwa

Mweusi wa ajabu mikwaruzo sijui ya kufumaniwa na mume za watu nilitumia akili nikamuomb afute chat tuliyochat tangu siku hiyo ukawa mwsho wa kumtafuta kinachoniuma alishanila km.elfu 50 kwa kwel makeup noma
 
Unaanzaje kuliwa hela kabla ya kuila papuchi mkuu?
 
Mhh
1540655761895.jpeg

Wengine wana sanduku zima
 
Ndugu kwa kifupi nilifungua group LA WhatsApp LA wachumba members walikuwa wengi kiukweli nilitokea kumpenda Dada mmoja kiukweli alikuwa mrembo sana nilitumia uadmn kumremoved haukuchukua hata dakika alinifata inbox chanzo cha kumremoved nilimwambia Ukweli kuwa nimekupenda tukaanza kutumiana Picha kiukweli kila Picha aliyotuma ilinikosha roho .kuna siku alimwachia mdogo wake simu nilipiga alipokea yeye alijitambulisha anaitwa Doreen nilimuuliza swali MOJA nilivyopiga jina gani lilitokea ktk cm alijibu Ukweli Dada yke alinisave my husband nikamjb kuwa mm ni mume wake mtarajiwa ila anitumie zake zote kwani nilishaongea naye bila hiyani alianza kunitumia kwa njia ya WhatsApp sikuhamini kiukweli alikuwa

Mweusi wa ajabu mikwaruzo sijui ya kufumaniwa na mume za watu nilitumia akili nikamuomb afute chat tuliyochat tangu siku hiyo ukawa mwsho wa kumtafuta kinachoniuma alishanila km.elfu 50 kwa kwel makeup noma
We si pochi Nene dingii asee ma men
 
Back
Top Bottom