chlorine gas
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 2,540
- 2,683
Camera360
Safiiii angekula mpaka banana na mapple yake mnapendwa hamtaki tuwafanyaje sisi kimewatokea halafu mnakuja kutupa presha humj.Ndugu kwa kifupi nilifungua group LA WhatsApp LA wachumba members walikuwa wengi kiukweli nilitokea kumpenda Dada mmoja kiukweli alikuwa mrembo sana nilitumia uadmn kumremoved haukuchukua hata dakika alinifata inbox chanzo cha kumremoved nilimwambia Ukweli kuwa nimekupenda tukaanza kutumiana Picha kiukweli kila Picha aliyotuma ilinikosha roho .kuna siku alimwachia mdogo wake simu nilipiga alipokea yeye alijitambulisha anaitwa Doreen nilimuuliza swali MOJA nilivyopiga jina gani lilitokea ktk cm alijibu Ukweli Dada yke alinisave my husband nikamjb kuwa mm ni mume wake mtarajiwa ila anitumie zake zote kwani nilishaongea naye bila hiyani alianza kunitumia kwa njia ya WhatsApp sikuhamini kiukweli alikuwa
Mweusi wa ajabu mikwaruzo sijui ya kufumaniwa na mume za watu nilitumia akili nikamuomb afute chat tuliyochat tangu siku hiyo ukawa mwsho wa kumtafuta kinachoniuma alishanila km.elfu 50 kwa kwel makeup noma
Hahhahaha HahahhaKumremoved![]()


inbox
Safiiii angekula mpaka banana na mapple yake mnapendwa hamtaki tuwafanyaje sisi kimewatokea halafu mnakuja kutupa presha humj.
Una Picha inboxTaharifa nzito hii bila picha hainogi mkuu
Makeup hiziPole sana mkuu ila na mm 1day nlimpata bonge la toto zur kwel kwel kama kashushwa hajazaliwa chaajabu kuamka asubuh baada ya kuoga mkuu kama kabanikwa mbaya cjui alijipiga fila na rangi aisee au n kiini macho jaman ndugu zangu
Dr Shika Again.Ndugu kwa kifupi nilifungua group LA WhatsApp LA wachumba members walikuwa wengi kiukweli nilitokea kumpenda Dada mmoja kiukweli alikuwa mrembo sana nilitumia uadmn kumremoved haukuchukua hata dakika alinifata inbox chanzo cha kumremoved nilimwambia Ukweli kuwa nimekupenda tukaanza kutumiana Picha kiukweli kila Picha aliyotuma ilinikosha roho .kuna siku alimwachia mdogo wake simu nilipiga alipokea yeye alijitambulisha anaitwa Doreen nilimuuliza swali MOJA nilivyopiga jina gani lilitokea ktk cm alijibu Ukweli Dada yke alinisave my husband nikamjb kuwa mm ni mume wake mtarajiwa ila anitumie zake zote kwani nilishaongea naye bila hiyani alianza kunitumia kwa njia ya WhatsApp sikuhamini kiukweli alikuwa
Mweusi wa ajabu mikwaruzo sijui ya kufumaniwa na mume za watu nilitumia akili nikamuomb afute chat tuliyochat tangu siku hiyo ukawa mwsho wa kumtafuta kinachoniuma alishanila km.elfu 50 kwa kwel makeup noma
HongeraKiukweli Mimi na makeup vitu viwili tofaut.
Am proud kuwa hivi niliivyo
Naomba link ya matokeo ya drs la sabaKumremoved![]()