Nilikuwa sijui wanayosema hapa kuwa (hata makazini) watu wanaweza vutiwa na mtu kutokana na make up, lakini uongo mbaya nikiweka lipstick, nikijua
nimepatia rangi halafu imekaa vizuri, hata nasikia vizuri mwenyewe.
Lips nzuri zina power yake fulani ya kukufanya uwe confident.
Cc
Heaven Sent