Make up bana inaficha mengi

Uyo ni mkenya kabisa tz hakuna weusi wa hvo...
 
Hawa dada zetu bila makeup hawajiamini kabisa.
 
MTU kama huyo ni mwepesi sana kumugundua maana ukimgegeda na baada ya mgegedo ataenda kuoga,hapo ndipo kwenye kujulikana mbivu na mbichi
 
Numbisa, umenifanya narudia rudia kulinganisha hizo picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…