Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
Makeup nzuri ni ile mtu hawezi note. Huyu karundika hasa, ila it blends well. Unless uone before and after, huwezi jua ni kazi gani imefanyika.
Makeup nzuri ni ile mtu hawezi note. Huyu karundika hasa, ila it blends well. Unless uone before and after, huwezi jua ni kazi gani imefanyika.
Lips kama hizi too much zinanichefua sana tu. Mboni za jicho nazo mtu anaonekana kama jini vile, unaweza kumkimbia, haina mvuto kwa wengi. makeup nzuri ni ile inayopendwa na wengi.
Lizzy, kuna ex colleague wangu fulani (wa kike) alinambia kua wanawake wanajiremba to impress other women because men don't know about makeup anyway. Unadhani ni kweli?Hata hiyo inayokuchefua wewe inapendwa na wengi. . . WANAWAKE, kwahiyo ni nzuri.
Hata hiyo inayokuchefua wewe inapendwa na wengi. . . WANAWAKE, kwahiyo ni nzuri.
Lizzy, kuna ex colleague wangu fulani (wa kike) alinambia kua wanawake wanajiremba to impress other women because men don't know about makeup anyway. Unadhani ni kweli?
(she was refering to zile makeup tooooo obvious, sio discrete).
Come now, obviously huyo kapaka hivyo kwaajili ya picha tu. Hatuwezi zunguka mitaani na lips zinazochuja!!Hii kitu matone toka kwenye lips yatanidondokea shatini na kupaint my natural chicks Lizzy
Hahahaha. . . . inawezekana ikawa kweki RR.Maana kama wale waimba taarab wanaojigeuzaga "disco lights" sidhani kama hua wanafanya vile kuvutia wanaume.
Wanaume wao make up wanayojua na kuelewa ni red lipstick. . . haya makorokoro mengine wanaona kero tu. Which I understand, maana mtu ukijikandika sana hata ukikumbatiwa tayari utamuachia mwenzako madoa kwenye shati, ukiamka asubuhi unaonekana tofauti kabisa.Ndio mwanzo wa kukimbiana huo!!
Kichefuchefu tu wanatusababishia...natural beauty ndo mpango mzima...