titimunda
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 7,572
- 9,764
watu hata kuvaa kisasa hawajui unategemea wataweza kuwaongoza kisasa?.Serikali yetu ina wazee wengi wasiotaka kushauriwa na vijana wanaoiona dunia inaendaje.
watu hata kuvaa kisasa hawajui unategemea wataweza kuwaongoza kisasa?.Serikali yetu ina wazee wengi wasiotaka kushauriwa na vijana wanaoiona dunia inaendaje.
Vijana wamo pia lakini mawazo yao utafikiri ya watu wa Karne ya 9 !Serikali yetu ina wazee wengi wasiotaka kushauriwa na vijana wanaoiona dunia inaendaje.
Haya jamani PayPal majibu yao ni hayo BoT kuwaingia na kuwapa haya maoni inawezekana kweli ili warekebishe matundu?Vijana wamo pia lakini mawazo yao utafikiri ya watu wa Karne ya 9 !
- Kina Mwigulu Nchema eti mchumi daraja la 1 aliyema Ilboru hajui hata umuhimu wa PP
- Antony Mavunde yeye ni waziri, anachojua ni kubweka tu VIJANA MJIAJIRI
- Jiwe mwenyewe amekuwa SUMU KALIII kwa bloggers, utafikiri kuwa blogger ni dhambi !
[HASHTAG]#SoSad[/HASHTAG]
Ikitumwa wanaishughilikia vp?Tovuti ni trusted sana, ni lazima washughulike. Kuna petitions nyingine zinaendelea in Ghana, Nigeria, Maldives na nyinginezo.
Rupert Keeley: Enable PayPal in Ghana
PayPal: Allow Nigeria PayPal Users to "Receive Money"
MMA: Receive money through PayPal in Maldives
Zikitimia signature 500, petition itatumwa Paypal moja kwa moja.
Ilishia wapi hii?
Hakika. Tunajiweka nyuma nyuma sanaNimeona 2chekout hadi Kenya ,Congo na Burundi inassuport ila Tanzania eti haipo!!
Tutazidi kuwa nyuma kwenye E_economy hivi hivi
Ulidanganya location? Mbona Mimi kuna malipo yangu pending nataka kufungua account ya kupokelea ila no such option?Like two weeks ago Paypal waliniambia nitengeneze link kwa ajili ya kupokea malipo. Nishatengeneza bado nasubiri mtu wa kupiga naye test.