Thefreedom
JF-Expert Member
- Jan 27, 2019
- 319
- 316
karibu....
the freedom is here karibu tena katika uwanja wa cybersecurity && hacking na n.k
watu wengi sana wameniuliza private hii kitu na nikaona niweke wazi ukweli kuhusu hackers vs windows defender .
kama uliwahi pitia my previus posts nilisemaga hii kauliii " iko backdoor na techniques ambayo itabypass all microsoft security especiall kwenye antivirus yao iitwayo windows Defender.
sasa leo nimeona ni demostrate hiki kwa njia ya video lesson...
HOW TO BYPASS WINDOWS DEFENDER NA COMPROMISE COMPUTER SYSTEM YYTE IN BLACKHAT STYLE
Kabla kabisa napenda kutoa pongezi kwa CYBERKNOWTZ kwa juhudi za kuwezesha vijana wa ki tanzania wanapata elimu tosha ya jinsi ya kujizuia na Cybercrimes
HIVO basi
nini maaana ya antivirus?
antivirus lugha ya kitoto kabisa tunasema hawa ni walinzi ambao hulinda mifumo endeshaji yetu especially microsoft windows. MFANO wa walinzi hawa ni kama windows defender, eset, avast na n.k
Ufanyaji wa kazi wa hawa antivirus ni kuhakikisha kwamba kifaa chako hakiiingiliwi na malware yyte ambaye anaweza kusababisha uharibifu wa data za user.
sasa hawa antivirus huwa na database yao husika ambayo hutumika kucheck signature kama zina match na software yyte inayozama katika pc yako. na hapa ndio ikikuta kitu cha tofauti hudetect kama virus
hivo basi HACKERS wengi sana wanasuka exploits na techniques ambazo zitabypass hizi antivirus na kufanikiwa kuzama ndan kwenye pc ya user
so katika ujuzi nikaja kugundua kuwa, microsoft windows defender kwa user sio sahihi kwa maana kwamba pamoja ni kampuni kubwa lakni we can strongly bypass na kurun ransomeware au backdoor yyte kwa mfumo wowote.
sasa hapa dont take me wrong, simaniiishi kitu kibaya au kuharibu jina la hawa ndugu zetu bali nataka wewe msomaji uchukue precautions .
SO kwa hii domestration nitaonesha live kuwa natengeneza backdoor ambaye ni detectable hapa inaweza kuwa ni ransomeware au virus yyte utakaye taka mtumia na nitaonesha wazi kuwa ni detectable kisha nitaonesha
1. how blackhats wanavyoweza kumfanya awe 100% fud ( undetectable)
2. na jinsi gani wanavyobind na microsoft doc in blackhat sytle.
note AM NOT RENSPONSIBLE kwa yyte atakayekiuka sheriaa na kuharibu data za watu, pia usichukue style hiii kuja kusumbua humu jukwaani....
sasa baada ya kusema hivo , wale walionishaurii uzi usiwe unachosha niwawekeee video lesson basi
nami nimefanya hivooo , download video hapa chini na ucheki kwa mda wako.
note. kikubwa ni kudaka concept ili na wewe upate cha kuzungumza ukienda demonstrate popte
download full demostration THEFREEDOM- FULL VIDEO ( TIME=1HR)