Nyie ndio mnataka kuchochea moto kwa kuuzima kwa kutumia petroli...
Mpaka sasa wazawa wengi wanaona kwamba hawa wageni wamechafua nchi yao kwa kuibadilisha na kuiharibu, kuongeza hili naona italeta hatred ambayo mpaka sasa inafuka chinichini..,
Ni mambo kama haya ndio yanavipa nguvu vyama vya siasa vya kibaguzi mfano BNP.., Anyway kwa ushauri.., when in Rome do as Romans
Cha muhimu wewe kama ni minority siku ya sikukuu yako ukiomba ruhusa kazini utapewa tu, ndio maana hindus au wachina (Chiniese New Year) siku ya siku zao huwa wanasherekea sana ingawa haipo officially kila mtu anajua na akiomba off anapewa kazini.
"When you are in Rome do what the Romans does" IS A GALATIAN POLICY
We Muslims are NOT HERE TO PLEASE ANYBODY EXCEPT GOD ALMIGHTY.
We told the BNP, CRUSAIDERS , KKK and the rest! To BRING IT ON!
We ain't scared for NOBODY! and we ain't cowards like GALATIANS! Bending backwards to get what they want.
Huku WEST tutachukua kila kilicho haki yetu!
Hatubembelezi yale ya HAKI! Na imani yangu inaniambia kuwa ARDHI YOTE NI YA ALLAH!
Iwe TZ au Detroit! Zimbabwe au Kansas city! Kinshasa au London.
Na tukitakacho kama sio leo HATA KESHO KITAPATIKANA!
Sisi Sio wakristo wa kufanya kila anachokitaka MCHUNGAJI!
Hukumu ya kufuatwa ni ya ALLAH PEKE YAKE!
Hata kama Washikina watakasirika.
At-tawba
9; 33
هُوَ الَّذِي أَرْسَلَ رَسُولَهُ بِالْهُدَىٰ وَدِينِ الْحَقِّ لِيُظْهِرَهُ عَلَى الدِّينِ كُلِّهِ وَلَوْ كَرِهَ الْمُشْرِكُونَ
Yeye ndiye aliye mtuma Mtume wake kwa uwongofu na Dini ya Haki ipate kushinda dini zote, ijapo kuwa washirikina WATACHUKIA.