Makazi ya Rais yako wapi?


(g)Korogwe kwa prof maji marefu
 
Nilichokiona hapa kuwa wengi hatufahamu yalipo makazi ya rais na familia yake!
hata mshahara wake mimi sijui na mimi ndo mwajiri wake.....
(mkuu rais anaishi ikulu hadi kipindi chake cha urais kitakapoisha)
 
hii nchi haiwezi kuendekea...hamna hoja yenye tija mpaka mnapoteza muda kubishana makazi ya raisi?? Tangu mungai alipobadilisha mitaara ya shule wasomi vijana wa sasa mmekua sooooooooooo absurd..hata elimu ya kawaida ya uraia ni hoja ya ubishi...NCHI MTUNGONI..
 

Mkuu ulitakiwa ujibu tu rais wa jamuhuri ya muungano wa tz na familia yake wanaishi wapi, hayo uliyoandika hayana maana na kama hauna jibu ungesubiri wenye ufahamu watusaidie!
 

Asante mkuu masalapa. mimi nachagua a na b!!! Ha ha ha! Huku kwingine anapita tu
 


Hapo {c} isomeke Msoga/ kwa mzee Maarifa Bagamoyo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…