BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,809
- 5,779
hata ukitumia microphone sijui kama wanaweza badilika wanaume wenyewe hawa wa kizazi kipya labda Mungu awatokee
Sijui kwanini wengi Wa makungwi huwa wameachika???Shida ni kuwa makungwi wengi ndoa zimewashinda. Sasa mtoa mada isije kuwa na wewe unafunda(which is great) lakini huyaishi unayowafunda wenzako...
Baadhi yao ni makurumbembe yaliyoshindikana. Hata ndoani yanapwaya.Sijui kwanini wengi Wa makungwi huwa wameachika???
Hapa panatia ukakasi kidogo. Msome mtu wako umjue, maswali achia wanafunzi.Muulize ni kitu gani hasa anatamani umfanyie kitandani:
Kila mtu ni tofauti inapokuja kwenye swala zima la ngono. Njia pekee ya uhakika ya kujua nini mwanamke anapenda kutoka kwako ni kumuuliza.
Nyie mnaoweza kazi zenu za kutoza ushuru na kujipodoa alafu kitandani mnajilaza tuu kama maiti ya mgomba wa ndizi boko boko nyaaambaaafuuunawapa makavu nyie kwanza mpaka mbadilike ndiopo nihamie kwa wanawake maana naona mmeshindwa kazi yenu
sasaaaa hayo majimaji ukeni ........ni majimaji gani ??unataka tuandae na siye si mtaimba kizungu na kindengereko nyie kama hamjapagawa mpaka muanze kudata na kufaint kabisa
Kwenye majukumu ndiyo mnatambua siye kichwa cha nyumba??nawapa makavu nyie kwanza mpaka mbadilike ndiopo nihamie kwa wanawake maana naona mmeshindwa kazi yenu
Eti amuulize, teh teh! Mtani hawa ndio makungwi wa karne yetu.Hapa panatia ukakasi kidogo. Msome mtu wako umjue, maswali achia wanafunzi.
Hatari sana mtani wangu...Eti amuulize, teh teh! Mtani hawa ndio makungwi wa karne yetu.
hahahahaaaaaaaaaaaa bestito umeniacha hoi mm ndoa yangu haijainishinda basi nimeona niwafunde wenzangu hapa kijiweniShida ni kuwa makungwi wengi ndoa zimewashinda. Sasa mtoa mada isije kuwa na wewe unafunda(which is great) lakini huyaishi unayowafunda wenzako...
makavu yemewekwa nazi usiombeeeKhaaa, makavu kwelikweli