Hapo umenena, hata mimi inanikera mno...utakuta msela anakuja forum na kusema...Nimegegeda manzi mwenye papuchi kama mtera,,,,seriousily??? gash!!!.hiyo D sijui ungetumia speaker kabisa ili wasikie vizuri
Hongera kwa kuwapa somo hasa Vijana wa Saridalama maana wanapapasa na kutoheshimu kazi za wanawake unakuta wanatupa wengine majukumu ya kuwasadia kwa kumalizia kazi kikamilifu.nawapa makavu nyie kwanza mpaka mbadilike ndiopo nihamie kwa wanawake maana naona mmeshindwa kazi yenu
nimefanya tafiti sana na na wala sijakurupuka mkuu mna tabia hizo mjirekebishe atiiiTOBAAAAAA!!!!!
KUNGWI WE. Kuna mambo yanayonitatiza kuhusu ukungwi. Kwa nini mnapotoa mafunzo yenu msijitahidi kutumia "TAFITI" kama hadidu rejea, kwa mwendo huu wa digitali unachosema ni hisia zako na si uhalisia.
Ni vizuri pia mkajibooresha kwa kuwa watu wenye maarifa na weledi juu ya ulimwengu huu maana hoja za makungwi ni zile zile miaka nenda miaka rudi
asante mkuu kwa kuliona hilo hali hii sio kwa saridalam pekee ni tanzania kwa ujumla na hata nje ya tanzania piaHongera kwa kuwapa somo hasa Vijana wa Saridalama maana wanapapasa na kutoheshimu kazi za wanawake unakuta wanatupa wengine majukumu ya kuwasadia kwa kumalizia kazi kikamilifu.
Ukweli zaidi shida kubwa sasa ni Ukosefu wa Nguvu za Kiume hasa kwa wapenda vilaini,ugumu wa maisha,stress,milo hafifu isiyo na virutubisho n.k
Ni lazima mwanaume ili kufanya kazi ya watu vizuri ni lazima aweze kuwa Physical na Mental Fit,vinginevyo work done= Zero.
Utamuandaa lakini Dushelele moko chali kama bata wakati Chura anabakiwa na Kiu na mahamu ya Kutosha.
Simply men let change and struggle to Restore our Respect and do our Reponsibilities Effectivelly & Effeciently.
Ukweli Madem wa Saridalama wanakiu mno na kuna uhaba sana wa kupata dushelele ya uhakika kupita Majiji au Mikoa Mingine na hii ni kutokana na sababu chache za hapo juu nilizozitaja.
hahahahaaaaaaaaaaaaaa ulitaka za kutowasumbua auHumu thread za kusumbua wanaume haziishagi tu...Argghhh!
Mtoto halali na hela hujamboAsante kungwi
nimefanya tafiti sana na na wala sijakurupuka mkuu mna tabia hizo mjirekebishe atiii
mama mfundaji kungwi niliyebobea siandikagi vitu nisivyofanyia utafiti mkuu kuwa mweledi na muelewa
Jambo wewe miss you so muchMtoto halali na hela hujambo
kumbe unajua sisi ni alfa na omega sasa unataka udhibitishiwe na ni inini rafiki?Tupe huo utafiti wako au utupe walau "Picha". Mfano katika utafiti wako ulihoji/uliweza kufikia watu wangapi? Umri au Rika la hao watu. Hao watu ni watu wa maeneo yapi? ( Vijijini au mijini). Je, shughuli zao za kujipatia kipato ni zipi? Maana utamaduni wa mvuvi "automatic" ni tofauti na wa mfugaji.
NB: Samahani kwa maoni yangu maana "makungwi" wengi kama sio wote huamini wao ni "Alfa na Omega".
si uingie PM umeona hapa ndo sehemu ya kusalimiana acha uchokoziJambo wewe miss you so much
usawa utakuwepo tu iilihali mdhibitiweDada siku izi kuna 50/50
na mi NGOs yenu iyo ya kutaka haki sawa.So kuweni wapole tu