ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
nawapa makavu nyie kwanza mpaka mbadilike ndiopo nihamie kwa wanawake maana naona mmeshindwa kazi yenuKesho uje makavu live kwa wanawake....ili at least akidi itimie
unataka tuandae na siye si mtaimba kizungu na kindengereko nyie kama hamjapagawa mpaka muanze kudata na kufaint kabisaMnapenda kuandaliwa tu ila nyie kuandaa
nilijua babu utaingia humu hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaAiseeeeee,
mkuu umenisaidia sana kuongezea haya mambo ungependa nayo niweke pale kwenye thread yanguTangu enzi za primitive lives, wajibu wa mwanaume ulikuwa:
1.Kulinda familia kwa kuiepusha na maadui pamoja na wanyama wakali.
2.Kutunza familia kwa kuwinda na kuleta msosi home
3.Mechanical works kama kujenga pango (cave)lipia.
4.Kuongoza kundi/ukoo
5.Kuhakikisha ukoo unasonga mbele kwa kuzalisha.
WAJIBU WA MWNAMKE ULIKUWA:
1.Kuweka mazingira ya nyumbani ktk hali ya usafi.
2.Kutunza familia, yaani watoto na mume(wapikiwe, wavae na kulala pasafi)
3.Kulea watoto.n.k
Kwa ufupi mwanaume alikuwa ni family provider and protecter, na mwanamke alikuwa ni family nurture. Ila tangu ww2 imalizike na KE kuanza kufanya kazi na kupata pesa, wanawake walichanganyikiwa totally, hawajui wanataka nini kati ya matunzo au 50/50.
Mkuu hawa watu hawajui wanataka nini kati ya matunzo au 50/50.....sasa sisi tuwape tunachoona kinawafaa.Vipi hamtaki tena haki sawa,au mmesalim amri!?
hata ukitumia microphone sijui kama wanaweza badilika wanaume wenyewe hawa wa kizazi kipya labda Mungu awatokeehiyo D sijui ungetumia speaker kabisa ili wasikie vizuri
Hamna shida kwenye hilo...ila mnatuacha dilema....mnataka nini??? matunzo au 50/50???mkuu umenisaidia sana kuongezea haya mambo ungependa nayo niweke pale kwenye thread yangu
hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa kwani hujaona pale juu kwenye thread wanawake tunataka nini kwenuHamna shida kwenye hilo...ila mnatuacha dilema....mnataka nini??? matunzo au 50/50???