Makato ya DATA kwenye mitandao ya simu

Makato ya DATA kwenye mitandao ya simu

Nikweli mkuu mimi jana tu nilikua nanunu kifurushi cha OMG nashangaa imepanda ghalama cha week ilikua sh, 6'000 sasa ni sh, 8'000 kulikoni

Nami leo nimeshangaa kifurushi cha airtel wiki moja OMG nilichokuwa nanunua shs elfu moja na kupata 700 mb leo wameuza elfu mbili kwa 1 gb.
 
Data charge ktk mitandao ya simu hapa Tz ni mojawapo ya njia au vyanzo vya mitandao kuwaibia wananchi hata kile kidogo walicho nacho. Mathalani, kwa siku ni watanzania wangapi hulalamika kukatwa pesa zao bila kupata huduma na wasirudishiwe. Kama watumiaj wa simu milion 1 watakatwa sh. 200, ambazo huwez kurudshiwa kwa vyovyote. Je kwa wiki itakuwa sh ngapi? Wana majibu rahis na wakat mwingine hukata simu. Hata hvyo hatuna mtaalamu anayetusimamia na kuhakiki uhalisia wa matumizi ya data zetu na fedha tunazolipia. Inasikitisha
 
Hivi hatuwezi kusaini petition ili kuishurutisha mamlaka husika kufanya kitu, hii imezidi sasa!
 
Tatizo na nyie hamujui kuiba! Najipatia 30 GB kila wiki za Ujanja ujanja, google store bwana kumbe kuna vitu vizuri huko hatutaki kuvipekenyua na si lazima uwe umesoma IT ni utundu wako tu

Itabidi nikutafute mkuu!
 
Back
Top Bottom